johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
haahaa huu utani sasa yani mikia isajili mchezaji kutoka EPL?Mtangazaji mahiri wa Shirika la Utangazaji la Uingereza BBC mh Salim Kikeke ameteuliwa kuwa balozi wa Simba SC nchini Uingereza.
Klabu ya Simba imesema inategemea Kikeke atawapaisha sana kimataifa ikiwemo kuwasajilia wachezaji kutoka ligi kuu ya nchi hiyo yaani Premier League.
Source Dira tv!
Atusaide tumsajili Mane na Firmino ili tujihakikishie ubingwa wa VPL mwaka huuMtangazaji mahiri wa Shirika la Utangazaji la Uingereza BBC mh Salim Kikeke ameteuliwa kuwa balozi wa Simba SC nchini Uingereza.
Klabu ya Simba imesema inategemea Kikeke atawapaisha sana kimataifa ikiwemo kuwasajilia wachezaji kutoka ligi kuu ya nchi hiyo yaani Premier League.
Source Dira tv!
Kwani kuwa balozi kunaleta taharuki gani?Hiyo kutaja tu kwamba kateuliwa kuwa balozi bila kumalizia kuwa kateuliwa kuwa balozi wa nini kwenye kichwa cha habari umeleta taharuki miongoni mwa jamii. Inatakiwa TCRA wakuchukulie hatua kama walivyofanya kwa Kwanza TV.
Mimi nilijua jiwe kampa shavu ili aache kukoleza moto kule BBC kuhusu shangazi mwanasheriaMtangazaji mahiri wa Shirika la Utangazaji la Uingereza BBC mh Salim Kikeke ameteuliwa kuwa balozi wa Simba SC nchini Uingereza.
Klabu ya Simba imesema inategemea Kikeke atawapaisha sana kimataifa ikiwemo kuwasajilia wachezaji kutoka ligi kuu ya nchi hiyo yaani Premier League.
Source Dira tv!
Hakuna tatizo Kikeke amewasikia!Atusaide tumsajili Mane na Firmino ili tujihakikishie ubingwa wa VPL mwaka huu
Hahahaaaa....... Kapewa shavu na MO!Mimi nilijua jiwe kampa shavu ili aache kukoleza moto kule BBC kuhusu shangazi mwanasheria
Pogba!eti,... kusajili nini?
Kwa hiyo awasalijilie Simba wachezaji kutoka EPL ili waje kucheza VPL kweli ?Mtangazaji mahiri wa Shirika la Utangazaji la Uingereza BBC mh Salim Kikeke ameteuliwa kuwa balozi wa Simba SC nchini Uingereza.
Klabu ya Simba imesema inategemea Kikeke atawapaisha sana kimataifa ikiwemo kuwasajilia wachezaji kutoka ligi kuu ya nchi hiyo yaani Premier League.
Source Dira tv!