Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kuzusha Kafulila ni Mtanzania ila naona kama amepanic ila picha ziko poa sanaNaona mrundi kakutaniza hapo tangazaji la Kímataifa🤣🤣🤣
Kila nchi kodi ipoKinachofurahisha zaidi wanasiasa wakisikia kauli kama hizi kwamba nchi imejaa msururu wa kodi hadi kukimbiza wawekezaji wanakimbilia kumbana mfanyabiashara mzawa wakidhani ndiyo wamefanya kitu kumbe wamefungua njia kwa maafisa kodi ku-negotiate na wafanyabiashara nje ya mfumo mwisho kula rushwa.
Mr tumbili Yuko njema ila uwekezaji ni ukoloniHuyu Salim Kikeke na Redio yao hii Crown Media wako juu sana na wanakuja kwa kasi kubwa kwani interview zao zimeenda mbali.
Sikiliza huu mjadala mpaka mwisho.
View attachment 3080039
Hakuna aliyesema kuna nchi haina utaratibu wa kulipa kodi kasome uelewe nilichokiandika.Kila nchi kodi ipo
[emoji7]Nikweli Tanzania watu hawalipj nakubaliana na wewe,
Walipa kodi wako mi3 kati ya watu 62m
Shame on you....Mr tumbili Yuko njema ila uwekezaji ni ukoloni
[emoji7]Kodi gani wahuni tu kama walivyo wafanyabiashara wa Kitanzania.
Tanzania watu hawalipi kodi sio wazawa wala wageni,na wachache wanaolipa zinaishia mifukoni mwa Officers wa TRA na Politicians wakiwemo viongozi wenu wakuu wa Nchi.
Ni mjinga na mpumbavu pekee anaweza sema Tanzania kuna msururu wa kodi.
Umeongea kizalendo sanaRaia tuna haki na dhima ya kukumbushana wajibu wetu wa kulipa kodi....
Inawezekanaje tukauendesha uchumi tuutakao kwa WALIPA KODI MILIONI 3 kati ya sisi raia milioni 62?!!!
Tunataka nchi itufanyie....imeshatufanyia sana mathalani AMANI NA UTULIVU TULIONAO tukiendelea kubangaizia shughuli zetu bila bugdha kama Somalia ,Burundi ,Rwanda na Sudan....
Swali....
Je tumeifanyia nini NCHI YETU ?!!
Je tunaifanyia nini NCHI YETU ?!!
Hapa ndipo ilipo MIILI YETU tukiwa hai ,na makaburi yetu tukizikwa na MIZIMU YETU baadaye haitozungukia Uganda ,Kenya wala Malawi bali nyumbani Tanzania[emoji7]
#Tutafakari
Kwa mtu mwenye akili timamu sawa sawa kabisa na ambaye anaijua vizuri nchi hii ya Tanzania pamoja na Utawala wake jinsi ulivyo, Kamwe hawezi kuthubutu kufikiria kuja kuwekeza Tanzania. Never.Huyu Salim Kikeke na Redio yao hii Crown Media wako juu sana na wanakuja kwa kasi kubwa kwani interview zao zimeenda mbali.
Sikiliza huu mjadala mpaka mwisho.
View attachment 3080039
Ukiwekeza kwenye hotel kuna kodi 52Huyu Salim Kikeke na Redio yao hii Crown Media wako juu sana na wanakuja kwa kasi kubwa kwani interview zao zimeenda mbali.
Sikiliza huu mjadala mpaka mwisho.
View attachment 3080039