Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Hilo la sera ni sahihi ambazo zinaelewa na siyo huruma ya Rais, tutegeneze sheria zetu ziwe rafikiNi Kwa sababu hatuna sera ya Uchumi na siasa inayoeleweka.
Wa Sasa Kuna influx ya wawekezaji ambao wewe unawaita matapeli
Nani huyo atakaye iangalia upya, swali fikirishi kwanini huwa haiangaliwi upyaNadhani kodi iangaliwe upya
Jamaa hamhoji mtu kwa matarajio ya teuzi fulani, anapasua FACT tupu!Hawa ndio watangazaji tunaowataka sio mtangazaji anauliza maswali kiwoga woga tu
nimemjibu niliyemquote simuongelei Kafulila. hali ya kikodi na matumizi ya serikali haviridhishi kwa ujumla wake nikahitimisha kwa kusema mambo ni yanajiendea kama kichwa cha mwendawazimu hapo ukimani.Sio kwamba wewe ndio una matatizo ya uelewa? Unaona kabisa anamuhoji Kafulira na anatoa majibu ya nini Serikali imefanya then unaongea shit Sasa wewe ni mzima kweli?
Ungeeleweka vyema kama ungedai uwajibikaji kwa viongozi ambao baadhi yao wamejitungia Sheria kabisa ya kutoshtakiwa kwakuwa wao ni malaika hawakosei,Raia tuna haki na dhima ya kukumbushana wajibu wetu wa kulipa kodi....
Inawezekanaje tukauendesha uchumi tuutakao kwa WALIPA KODI MILIONI 3 kati ya sisi raia milioni 62?!!!
Tunataka nchi itufanyie....imeshatufanyia sana mathalani AMANI NA UTULIVU TULIONAO tukiendelea kubangaizia shughuli zetu bila bugdha kama Somalia ,Burundi ,Rwanda na Sudan....
Swali....
Je tumeifanyia nini NCHI YETU ?!!
Je tunaifanyia nini NCHI YETU ?!!
Hapa ndipo ilipo MIILI YETU tukiwa hai ,na makaburi yetu tukizikwa na MIZIMU YETU baadaye haitozungukia Uganda ,Kenya wala Malawi bali nyumbani Tanzania[emoji7]
#Tutafakari
Matumizi ya Serikali na mazingira ya uwekezaji wapi na wapi?nimemjibu niliyemquote simuongelei Kafulila. hali ya kikodi na matumizi ya serikali haviridhishi kwa ujumla wake nikahitimisha kwa kusema mambo ni yanajiendea kama kichwa cha mwendawazimu hapo ukimani.
Sheria ni rafiki lakini zinakuwa out powered na mtizamo wa Rais kwenye siasa na Uchumi.Hilo la sera ni sahihi ambazo zinaelewa na siyo huruma ya Rais, tutegeneze sheria zetu ziwe rafiki
Huyu Salim Kikeke na Redio yao hii Crown Media wako juu sana na wanakuja kwa kasi kubwa kwani interview zao zimeenda mbali.
Sikiliza huu mjadala mpaka mwisho.
View attachment 3080039
Ngoja tuoneSheria ni rafiki lakini zinakuwa out powered na mtizamo wa Rais kwenye siasa na Uchumi.
Mtu wenu yule mjamaa alivuruga Kila kitu,saizi Yuko mliberali mnasema anawauza 😂😂
Hawa ndio wale unawaitaga matapeli 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/C_KhGBQNuYf/?igsh=MWU2NHhsM2RmdmhxdQ==
Nchi yetu sote mkuu wangu...Umeongea kizalendo sana
Kafulila ni kichwa sana huyu jamaaHuyu Salim Kikeke na Redio yao hii Crown Media wako juu sana na wanakuja kwa kasi kubwa kwani interview zao zimeenda mbali.
Sikiliza huu mjadala mpaka mwisho.
View attachment 3080039
Kwanini useme ni hoja dhaifu na usilete hoja yenye nguvu. Ogopa nchi ikiwa na wajinga wengi wanaweza kuchagua Rais na hii ndio maana baadhi ywa wanafasafa wa demokrasia kama Plato wanakataa mfumo wa demokrasia ya "wengi wape" kwa sababu wanaongozwa na mjinga na kura zinapigwa na wajinga kwahiyo mambo ya kijinga ndio yanatamalaki katika jamii kwa kivuli cha demokrasia ya wengi wape.Hoja dhaifu
Swali limemtoa kwenye reliAcha kuzusha Kafulila ni Mtanzania ila naona kama amepanic ila picha ziko poa sana
Tusipojenga mifumo ya kuheshimu na kulinda mawazo yanayotoka kwa golden boys kama hawa na kuishia kuwasifia tu tutaendelea kutopea kwenye umaskini huu huu wakati wote. Kwa sababu ukiangalia mijadala mingi imejaa character promotion and character assasination badala ya kujadili na kuweka kwenye vitendo fikra na hoja zinazotolewa na hawa tunaowaita vichwa.Kafulila ni kichwa sana huyu jamaa
Siyo Mrundi huyoNaona mrundi kakutaniza hapo tangazaji la Kímataifa🤣🤣🤣
Mkuu nchi ngumu sana hiiMatumizi ya Serikali na mazingira ya uwekezaji wapi na wapi?
Sahihi kabisaSiyo Mrundi huyo
Kuna ukweli hapaHakuna aliyesema kuna nchi haina utaratibu wa kulipa kodi kasome uelewe nilichokiandika.
Serikali ikitetemeka kwamba ishushe kodi kwa wawekezaji wa nje ili waje kama haipo tayari kushusha au kufuta kabisa baadhi ya anasa zake ikiwemo kubana baadhi ya sector muhimu kama madini mbuga mali asili zote lengo hizo sehemu zilete hela stahiki itajikuta ikiwabana wafanyabiashara wa ndani unga unga ambao mwisho wa siku watapita pembeni na maafisa kodi serikali ikose hata kile kidogo ilichokuwa inakusanya kutoka kwao.
Sio kweli hii mkuu Mshana JrUkiwekeza kwenye hotel kuna kodi 52