Kikeke na language mastery pia imemsaidia kuna watangazaji wengi wa idhaa za kiswahili kimataifa ing'eng'e haupandi vilivyo hivyo wazungu wanakuweka mbadala wa pili....Mzungu ukiwa kwenye taasisi yake na akagundua unajielewa kwenye eneo la lugha yake na kukoodineti mambo aah Lazima ulambe shavu...BBC imemuamini na anaweza kumbuka alianza kuhost BBC Focus on Africa kabla hajaanza na Dira TV! kwa hiyo Nkya na wenzako kazaneni lugha ni watangazaji wachache sana wa Tanzania wana uwezo wa kutangaza kwa kiingereza.
....Africa tuna talent sana ya kutangaza kwa sababu kadhaa kv sauti zetu tamu crispy,thunderous,soft voices lakini language barrier ni setback kubwa.
MFANO...Hayati Comra Dumour aliekuwa akitangaza BBC World Service alikuwa kivutio sana kwa audience kubwa duniani kilichompa nafasi ni LUGHA,SAUTI YAKE NZITO NA YA KIPEKEE PIA WELEDI...Sasa weee unamaliza shahada ya Uandishi kv BAJ,BAMC unataka ukawe disco joker na kina mchomvu utatoka hivo,,,fyuuu