Salim Kikeke

Salim Kikeke

Mbochong'a

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2011
Posts
767
Reaction score
1,312
Kazi anayofanya mwandishi na na mtangazaji wa BBC imekubalika sana hasa kwa watangazaji chipukizi wa TZ

Nilikuwa naangalia habari mlimani TV ... Kuna mtangazaji anaitwa David Nkya.. Yaani anamuiga kikeke kila kitu...

Hongera kaka mkubwa Kikeke kwa kuwa kioo cha watangazaji wetu tz.. Kuiga vitu vizuri haikatazwi but usiige kila kitu.. Vingine buni mwenyewe ili kuleta utofauti.
 
Sawa David Nkya nitajitahidi nikutazame maana ndo nakusikia leo.
 
Salim Kikeke made his job part of his life. Not just fulfilling his obligation but also living the job and actually enjoying it. Something very hard to do. All his creativeness originates from this single fact.
 
Kikeke na language mastery pia imemsaidia kuna watangazaji wengi wa idhaa za kiswahili kimataifa ing'eng'e haupandi vilivyo hivyo wazungu wanakuweka mbadala wa pili....Mzungu ukiwa kwenye taasisi yake na akagundua unajielewa kwenye eneo la lugha yake na kukoodineti mambo aah Lazima ulambe shavu...BBC imemuamini na anaweza kumbuka alianza kuhost BBC Focus on Africa kabla hajaanza na Dira TV! kwa hiyo Nkya na wenzako kazaneni lugha ni watangazaji wachache sana wa Tanzania wana uwezo wa kutangaza kwa kiingereza.
....Africa tuna talent sana ya kutangaza kwa sababu kadhaa kv sauti zetu tamu crispy,thunderous,soft voices lakini language barrier ni setback kubwa.

MFANO...Hayati Comra Dumour aliekuwa akitangaza BBC World Service alikuwa kivutio sana kwa audience kubwa duniani kilichompa nafasi ni LUGHA,SAUTI YAKE NZITO NA YA KIPEKEE PIA WELEDI...Sasa weee unamaliza shahada ya Uandishi kv BAJ,BAMC unataka ukawe disco joker na kina mchomvu utatoka hivo,,,fyuuu
 
Ha ha ha nimekuelewa saaana Mkuu N'yadikwa
 
Last edited by a moderator:

MANENo KUNTU.
 
Hivi Kikeke alianzia wapi utangazaji, alishawahi kutangaza redio za Bongo?
 
Kuna ile pic yake ambayo ilileta gumzo mtandaoni...aisee.
TCRA tafadhalini sana
 
Hivi Kikeke alianzia wapi utangazaji, alishawahi kutangaza redio za Bongo?

Kikeke sikumbuki alipoanzia, but nakumbuka alishawahi kusema kuwa alishafanya kazi IPP lakini hakuwa mtangazaji.. Alikuwa mhariri.. Aka apply BBC akapata
 
aliishatangaza RTD
 
Alifanya ITV alikuwa akitangaza English News Miaka ya 2000 Mwanzoni... Akafunga ndoa na mmoja ya watangazaji mwenzie Rukia Mtingwa kisha kilichotokea wanajuwa wenyewe
 
Kikeke sikumbuki alipoanzia, but nakumbuka alishawahi kusema kuwa alishafanya kazi IPP lakini hakuwa mtangazaji.. Alikuwa mhariri.. Aka apply BBC akapata

Dah basi anabahati
 
Alifanya ITV alikuwa akitangaza English News Miaka ya 2000 Mwanzoni... Akafunga ndoa na mmoja ya watangazaji mwenzie Rukia Mtingwa kisha kilichotokea wanajuwa wenyewe

namkumbuka rukia mtingwa, ilitokea nini mzee?
 
Back
Top Bottom