Salim nakupenda! Kwanini hukunivumilia na unajua nilikuwa mtoto, ukakimbilia kuoa?

Acha nae huyo ustaadhi.njoo nikuoe mimi we mzungu
 
Tatizo hata Kama Mama yako siku ya Ijumaa anaenda msikitini,lakini nakuapia Waisilamu wenzie bado wanamuona Kama ana zini tu na Mumewe japokua wako kwa Ndoa!
 
Mimi mahusiano yangu ni ya kuchart hakuna kunyanduana


Jibu

Hakuna naenyanduana nae nimesahau hayo mambo zamani sana nina zaidi ya miaka 4 [emoji849]
Kwa mtego huu wa 4yrs utawanasa wengi sana humu kwenye inbox yako!!!
 
Maisha haya haya hakuna maisha mengine.

Wamasema ili uoe au uelewe jivike mabomu mbele kwa mbele

Otherwise utasubiria

Mimi ni mkristo ila kama jamaa unampenda na yeye anakupenda na dini sio kikwazo kwenu kuoana nenda kafunge ndoa nae muishi

Kuna mifano mingi sana nimeiona ya watu wenye dini tofauti na wakaona na kuishi maisha ya ndoa zaidi ya miaka 30 waalipozaa watoto waliwapa uhuru wa kuchagua wanapotaka.

Si yupe pale kassimu majaliwa na mkewe mary majaliwa.Kassimu muislamu na marry mkatoliki na wanaishi safi kabisa

Misimamo yenu ya dini imepitwa na wakati inaleta sense of discrimination.
 
We binti, sikiliza kamwe usikubali kuolewa na Salim wakati ww ni mkristo,kwa sababu zifuatazo
1. Mtapeana shida kwenye urathi, kwa imani yako hutakubali mfumo wa kiislam kagawa Mali,
2.Ndugu wa mume "ma wifi" watakunyanyasa,usidanganyike na mapenzi wanayokupa sasa.
3.Je utakubali watoto wako waabudu usichokiabudu, Je huyo Salim atakubali watoto wake waabudu asichokiabudu?
4.Kisheria ya dini Salim haruhusiwi kukuoa, maadamu wasichana wa kiislamu wapo, atavunja sheria hivyo ndo itakuwa na "ubatili" mwingi.
5.Vita ya uke wenza isikie kwa mwenzake,utajuta kuwa sehem ya kiumbe wa hii dunia.
6.Ukiwa unamtaka Salim huna budi "kusilim"
Dont get married.
 
Eti mchezo mchafu,kumbe kuingiliana ni uchafu huwa mnanikera mnaojifanyaga kuliona hili tendo kama ni tendo baya

Eti unakuta demu anakwambia mimi nakuheshimu siwez kufanya na wewe hivyo,sasa unajiuliza ina maana anafanyaga na asioeshimiana nao,nyambafu
 
Umpende mwanaume alafu ushidwe kumpa mbususu, huo ni uongo
 

[emoji23][emoji23]
Ni mchezo mchafu
Kwani hukumbuki ukiwa mtoto wazazi wako walikuwa wanakuambia usifanye tabia mbaya
 

Asante kwa ushaurii mzuri
 

Mmh Asante Sanaa
 
Anaelekea kukukula na ndoa hautopata, au ata kuoa ila pendo litakua kwa mke wa kwanza

Siliwi kwasababu ya kutaka ndoa ni maamuzi yangu binafsi

Ila sio nimpe penzi et kwasababu nataka anioe ni vile tu sijisikii na wala sijatamani kukulana nae

Kiufupi kuliwa kwangu na yeye hakuhusiani na yeye kunioa naweza kuamua kumpa na nisitake anioe na naweza nisimpe kabisa na nisiolewe nae
 
Kwa mtego huu wa 4yrs utawanasa wengi sana humu kwenye inbox yako!!!

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] eeeh jmn na watakao naswaa wametakaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…