Salim nakupenda! Kwanini hukunivumilia na unajua nilikuwa mtoto, ukakimbilia kuoa?

Wakati ananiambia hivo mimi nilikuwa nawaza harusi kubwa washiriki ndugu zangu wote na marafiki zangu niolewe kanisani kiufupi nilikuwa natamani ndoa ya kanisani yakuvaa shela.
 
Utakula kwa macho mimi ni kembamba keupeeeee[emoji23][emoji23]
Mamamzungu ningekua na mimi sijaoa ningekuoa mke mkubwa ila sababu nimeoa uwe tu mke mdogo maana una huruma sana wewe, na navyopenda wanawake wakarimu, hata chura nawaachia vijana ukarimu unanitosha
 
Kiushauri tafuta wako yani wako pekee mambo ya kuingia kwenye mke wenza hutayaweza kwa haraka haraka navyokuona,

Kingine swala lipo pale pale mama yako hatakuruhusu ulowe na mtu itikadi za kidini zipo tofauti, mbaya zaidi ajue unaenda kuwa mke wapili kwa hilo mama hatakuelewa kabisa kama tu bado unazingatia maumivu ya mama
 
Hajawah kuwa bwege [emoji849]
Ni bwege. Mwanaume dhaifu. Kaoa bado anahangaika na wewe. Akitulize huko aliko sio kuweweseka kisa mbunye.

Watu wa Dini tofauti huwa ni incompatible kwasababu mna values tofauti, lazima mmoja awe Bwege na Katika hili Salimu ni BWEGE nambari 1.
 
Kuoa haimaanishi watu waache kupenda wengine

Si nyie ndo mmejazana kwenye huo uzi wa “Tukutane tuliokosea kuoa”

Salim sio bwege Kama angekuwa hivyo nafikiri angebadili dini anioe
 
Kiushauri tafuta wako yani wako pekee mambo ya kuingia kwenye mke wenza hutayaweza kwa haraka haraka navyokuona,

Kingine swala lipo pale pale mama yako hatakuruhusu ulowe na mtu itikadi za kidini zipo tofauti, mbaya zaidi ajue unaenda kuwa mke wapili kwa hilo mama hatakuelewa kabisa kama tu bado unazingatia maumivu ya mama

Asante mpnz
 
Back
Top Bottom