Salim nakupenda! Kwanini hukunivumilia na unajua nilikuwa mtoto, ukakimbilia kuoa?

Salim nakupenda! Kwanini hukunivumilia na unajua nilikuwa mtoto, ukakimbilia kuoa?

Hahah na unakaita kafeeling[emoji28]
Siku ukipenda utakuja kusimulia humu

U cant love and reject at once
U love and accept

Hebu niandikie dalili zinazoonesha umependa nitajie hata chache

Huenda mimi sijui kupenda [emoji23]
 
Esther najua ni ww japo stori umeivunja vunja ili ufiche I'd yako Kuna baadhi ya matukio umeyabadilisha ila matukio muhim uliyo yagusa nauhakika ni wewe hata jina la salim ulilonipa siyo langu
Kumekucha.....
 
Hebu niandikie dalili zinazoonesha umependa nitajie hata chache

Huenda mimi sijui kupenda [emoji23]
Ukimpenda mtu unamkubalia mnakua wote mnaenjoy maisha

Bila kujali dini
Kuwa mke wa pili si kitu cha ajabu
Ndo mana nakuambia hujapenda

Siku ukipenda utasimulia

Unampenda vipi na unamkataa?sio upendo huo labda anakupa vihela sijui vinakuzuzua

Ukipenda si lazima upewe kitu
 
Mmmh
Unajua wakati mwinginee kumuacha mtu aende pia ni upendo na mimi naamini MWANZO nilifanya vile kwakuwa sikutaka baadae tufike mbali halafu tuachane

Nakwambia Salim nilimpenda na nampenda nahisi upendo wangu ni wa agape usiobebwa na kitu [emoji3526]

Nakumbuka Salim aliniuliza “ Mbona nina kila kitu nini kinakufanya unikatae nisikuoe ,, au mimi sio mwanaume wa ndoto zako najua sijawah fanya kitu kikubwa kwako labda ningekulipia fees ama kitu cha thamani ambacho labda nikushawishi nacho unipende ”

Mimi kama ningekuwa simpendi Salim hakika ningemchuna sana na ningemuacha but Kuna ile hali ya upendo ndani ndio maana siwezi kufanya kitu Kama hicho

Mimi mamamzungu Salim nampenda sana [emoji7]
 
Nakushauri subiri subiri kwanza ukifika miaka 30+ utajua ujui teh
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Basi wenzio wanapenda vipotabo kama sieee
Wewe pia ni mlokole ?

Mfano akikuoa na baadae mkizaa je wanao watakuwa dini gani ? Au akishakuoa utabadili dini ?
 
Wewe pia ni mlokole ?

Mfano akikuoa na baadae mkizaa je wanao watakuwa dini gani ? Au akishakuoa utabadili dini ?

Mimi ni mlokolee ndio
Kama akinioa tukizaa watoto watachagua Imani Yao ( mfano mimi mwenyewe baba alikuwa muislam lakini katika watoto wake wote 7 Hakuna muislam wote tumemfuata mama wakristo)

Kuhusu kubadili dili abadani haiwezekani kila mtu atabaki na dini yako
 
'Mlokole' ambae yupo tayari kuwa mke wa pili ?..

Kila laheri...

Umesema mfano ama swali lako umeulizaje

Mimi nimekujibu kupitia huo mfano wako

Halafu pia sijasema kuwa naolewa nimeomba ushaurii
 
Esther najua ni ww japo stori umeivunja vunja ili ufiche I'd yako Kuna baadhi ya matukio umeyabadilisha ila matukio muhim uliyo yagusa nauhakika ni wewe hata jina la salim ulilonipa siyo langu
🤣🤣🤣🤣 kuna mambo hufurahsha mnooo
 
Fanya unaloona n sahihi, bila kuharibu amani ya nchi hiyo itakuwa bora zaidi.....
 
Sisy ur desperate!rChillax....World has so much to offer achana na Salim hakuwa hatma yako
 
Kama aliikuta no kwenye Daily wacha tuu salimu akukimbie 😂😂😂
 
Jamaa anatafuta comeback. Waislamu talaka ni kugusa tu.
 
Back
Top Bottom