Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah na unakaita kafeeling[emoji28]
Siku ukipenda utakuja kusimulia humu
U cant love and reject at once
U love and accept
Sio lazima kila ndoto iwe kweli,achana nae.
Kumekucha.....Esther najua ni ww japo stori umeivunja vunja ili ufiche I'd yako Kuna baadhi ya matukio umeyabadilisha ila matukio muhim uliyo yagusa nauhakika ni wewe hata jina la salim ulilonipa siyo langu
Ukimpenda mtu unamkubalia mnakua wote mnaenjoy maishaHebu niandikie dalili zinazoonesha umependa nitajie hata chache
Huenda mimi sijui kupenda [emoji23]
Ukimpenda mtu unamkubalia mnakua wote mnaenjoy maisha
Bila kujali dini
Kuwa mke wa pili si kitu cha ajabu
Ndo mana nakuambia hujapenda
Siku ukipenda utasimulia
Unampenda vipi na unamkataa?sio upendo huo labda anakupa vihela sijui vinakuzuzua
Ukipenda si lazima upewe kitu
Salim boya sana ,achana naye wewe endelea na ishu zako-hamna meanaume hapo.
Salimu ni BWEGE.
Nakushauri subiri subiri kwanza ukifika miaka 30+ utajua ujui teh
Wewe pia ni mlokole ?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Basi wenzio wanapenda vipotabo kama sieee
Wewe pia ni mlokole ?
Mfano akikuoa na baadae mkizaa je wanao watakuwa dini gani ? Au akishakuoa utabadili dini ?
'Mlokole' ambae yupo tayari kuwa mke wa pili ?..Mimi ni mlokolee ndio
Kila laheri...Kuhusu kubadili dili abadani haiwezekani kila mtu atabaki na dini yako
'Mlokole' ambae yupo tayari kuwa mke wa pili ?..
Kila laheri...
🤣🤣🤣🤣 kuna mambo hufurahsha mnoooEsther najua ni ww japo stori umeivunja vunja ili ufiche I'd yako Kuna baadhi ya matukio umeyabadilisha ila matukio muhim uliyo yagusa nauhakika ni wewe hata jina la salim ulilonipa siyo langu