Salim nakupenda! Kwanini hukunivumilia na unajua nilikuwa mtoto, ukakimbilia kuoa?

Mie pia baba zangu karibu wote wameoa wakristo. Sioni cha ajabu zaidi kila mtu yupo huru kufuata imani yake japo wazee waislamu jina hamna dini kali.
 
Hii chai ya pilipili manga na cake ya besdei.
Tanzania hii binti afike 23 yrs ajagongwa? Ashobokewe na kijana baro baro asiliwe kweli? Asante sana kwa chai. Alamsiki!
 
Ndio wanawake wa kikazi hiki mlivyo...nyodo kubao,dharau za kujaza tank...jua likishaanza kuzama ndo mnaanza kumtafuta aliekuwa na focus nzur ya future yako...na Mungu alivyo fundi kumbe tayar kashamtafutia wa kuendana nae...kwa sasa fanya utulie tu maana ukikipeleka na vile ulimletea nyodo atakichakaza na ndoa haifungwi
 
Sisy ur desperate!rChillax....World has so much to offer achana na Salim hakuwa hatma yako
Joannah umeolewa? Kama bado naomba uwe mke mdogo...[emoji1787] mwandiko wako unavutia[emoji28]
 
Kama ulidhani mama angekataa wewe kuolewa na muislam, unadhani leo atakubali wewe kuolewa na muislam tena mke wa pili? Au kwa sasa msimamo wa mama hauna nafasi kwenye maaumuzi yako?

Ushauri, subiri mtu wako anakuja, upo kwenye umri mzuri wa kupata mtu, jiweke katika mazingira ya kupata mwenza. Achana na habari za kuwa mke mdogo.
 
Subiri ufike 31 utatafuta mume wa kuwa mke wa tatu
 
ila salim alikuwa good boy muda wote huo ameshindwa hata kumnyandua mtoto mzuri huyu daa angekuwa ndugu yangu zero story ingekuwa ingine
 
Nilichoandika ndio sahihi
Hayo unayoyaongea siyajui

Nasubiri ushaurii wako [mention]Dream Queen [/mention]
Ushauri ndio huo,
Subiri Mlokole mwenzio akuveshe Shela mkafunge Ndoa ya Kanisa ili umfurahishe Mama na Nduguzo,

Hapo una miaka 26 bado hajatokea wa kukushika Mkono umebakiza miaka minne kabla hujabeba begi mwenyewe ukajiozeshe kwa Boda Boda.
 
Kama bado hujampa tunda, basi hapo bado hujajua tabia halisi ya Salim dada. Nenda kampe tunda kwanza ndipo uje uisifiye tabia nzuri ya Salim hiyo unayomsifia wewe. Salim bado hajala na ndo mana amerudi.

Uke wenza kama una uvumilivu basi nenda lakini kama uvumilivu wako no Mdogo acha, tafuta mtu wa dini yako mfunge ndoa, muache Mume wa wa2 na kata mawasiliano naye kabisa.
 
It's not over until its over, just wait, ila kama mama yako kaolewa na mkristo halafu anaona fresh tu,kuna ttzo katika uelewa wa dini yake. Hairuhusiwi kisheria msichana wa kiislamu kuolewa na mkristo, over .
 
Hii chai ya pilipili manga na cake ya besdei.
Tanzania hii binti afike 23 yrs ajagongwa? Ashobokewe na kijana baro baro asiliwe kweli? Asante sana kwa chai. Alamsiki!

Unaonekana unapenda sna uongo

Kudanganywa unapenda sana
 

Aina noma mkuu
 

Amen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…