Salim nakupenda! Kwanini hukunivumilia na unajua nilikuwa mtoto, ukakimbilia kuoa?

Sawa,haujanyanduliwa na salim je wewe n bikra[emoji23][emoji23][emoji23]au ndo historia ndefu
 
Esther najua ni ww japo stori umeivunja vunja ili ufiche I'd yako Kuna baadhi ya matukio umeyabadilisha ila matukio muhim uliyo yagusa nauhakika ni wewe hata jina la salim ulilonipa siyo langu
[emoji23][emoji23][emoji109] Salim kama Salim
 
Duh Alo kuloga kaisha kufa ulikua peke yako ukaringa ukiwa na miaka 23 Sasa miaka 28 bado unaringa subir ufike 35 utafute japo anaepumua tuu
 
ilibid uwe selfish sometimes unatanguliza hisia zako kwanza halafu wengine baadae

ungeshapata ndoa na kusingekua na uzi hapa

Mungu ni mmoja na haukumu dini bali anaangalia mtu mmoja mmoja....unawaza mama yako atasemaje na huenda bi mkubwa hata asingejali

She is your Mother atakupenda No matter what
 
Endelea kubaki vivyo hivo, ukifikisha 30+ Utajiopolea lizee lako konki kabisa tena huto chagua tena boya wewe [emoji23][emoji23][emoji23]

Kwani ndo ni tiketi ya kuingia mbinguni??

Kwamba walioolewa wataenda mbinguni na wasioolewa motoni
Ama ndoa ni pumzi kwamba wasioolewa hawaipati

Hiko unachoongea ni Kana kwamba mimi naringa… Mimi nipo dilemma na si kwamba naringa…

Naomba ushaurii kama ni sahihi ama sio sahihi
 
Sawa,haujanyanduliwa na salim je wewe n bikra[emoji23][emoji23][emoji23]au ndo historia ndefu

Ila watu sasa bikira inahusika vipi hapa….. au kuna mgao wa pesa kwa mabikira [emoji23]
 
Duh Alo kuloga kaisha kufa ulikua peke yako ukaringa ukiwa na miaka 23 Sasa miaka 28 bado unaringa subir ufike 35 utafute japo anaepumua tuu

Sijarogwa bhn umri niliokuwa nao ulipaswa mimi kuwa vile yeye kama mwanaume jukumu lake alitakiwa kunishawishi sana na kunitoa matongotongo maana nilikuwa mtoto
 

Yes kwakweli hata mimi nimeijutia ile nafasi lakini sina namna yalishatokea
 
Ushauri ndio huo,
Subiri Mlokole mwenzio akuveshe Shela mkafunge Ndoa ya Kanisa ili umfurahishe Mama na Nduguzo,

Hapo una miaka 26 bado hajatokea wa kukushika Mkono umebakiza miaka minne kabla hujabeba begi mwenyewe ukajiozeshe kwa Boda Boda.
Wabongo muna maneno ya kukela[emoji1787][emoji1787]
 
Tafuta wa kwako
 
Dini ni upuuzi flan wa kutaka kucontrol watu,itoe kwny hesabu zako,follow ur heart.
 
Actually tuliosoma story yote tushajua una Miaka 26 yaan ndio kwaanza umetoka toka kumaliza degree kama ulienda chuo na maisha sasa ndio unaanza kuyajua jinsi yasivyo na huruma..Naona kwasasa hata zile sababu za kumuogopa Mama yako na misimamo mikali ya kutengwa ushazisahau kabisaaa..Trust me Huyo jamaa atakunyandua tu kwakua kwasasa hela yake ushaanza kuipenda then anaweza asikuoe mke wa pili na hata akikuoa wala huta experience unachokifikiria na yeye atajishangaa kwanin alitaka sana kukuoa..AKILI KICHWANI MWAKO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…