Salim nakupenda! Kwanini hukunivumilia na unajua nilikuwa mtoto, ukakimbilia kuoa?

Bado hujanipa ushaurii
 
Bado hujanipa ushaurii
Ni simple tuuu..Kilichokufanya usimkubali kipindi kile kimabadilika au???kama ishu ni dini mbona bado anayo ile ile na ww ile ile ..
Then alikua hajaoa now ameoa..

Then ungekua ni mke, now unaenda kuwa nyumba ndogo...

Then hakua amezaa now tayar ana faimily...

Sasa hapo mbona factors to evaluate ur desion ziko waz sanaa??utaka ushauriwe nini cha ziada?au unataka uungwe mkono kwenye maamuz ambayo tayat umeyachagua moyoni ya kuolewa mke wa pili?
 
Smart comment
 
Bado hujanipa ushaurii
Olewa, usiwasikilize wenye kutoa ushauri uliojaa uchoyo ndani yake, issue ya uke wenza verily is to miner, na issue ya dini hata baba yako hakuwa mkristo, japo mama yako alikuwa mkristo hakuona tatizo. Lakini pia hata ukibadili dini sio mbaya as long as hata baba mbona alikuwa si mkristo.
 
Swali ni moja mbona mama yako aliolewa na Muislam? Sa we na mama yako nani bora.

Kama unataka kuolewa utaolewa tu na kama hutaki ngojea tu uone kama utaolewa
 
Hujawahi kunyanduliwa na Salim hapo nimekuelewa, ila sijaelewa kama wewe bado upo na bikira yako ama ilishaondolewa na mjuba mwingine, hebu funguka hapo.
 
Huyu Mwandishi ni mwanamke kweli? Au nimezeeka??
 
Hakuna furaha kama kuwa na mume wako mwenyewe

Mbona waliokuwa na waume zao peke yao hawana hiyo furaha

Si ndo hao kila mmoja anamuombea mwenzake afe ili aoe tena ama aolewe [emoji3526][emoji3064]
 
Swali ni moja mbona mama yako aliolewa na Muislam? Sa we na mama yako nani bora.

Kama unataka kuolewa utaolewa tu na kama hutaki ngojea tu uone kama utaolewa

Mbona Kama unanitishiaaaaaaaaa
 
Hujawahi kunyanduliwa na Salim hapo nimekuelewa, ila sijaelewa kama wewe bado upo na bikira yako ama ilishaondolewa na mjuba mwingine, hebu funguka hapo.

Nimeomba ushaurii wa Salim sijataka kuelezea mahusiano yangu ya nyuma

Suala la bikira ni uzi mwinginee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…