Salim nakupenda! Kwanini hukunivumilia na unajua nilikuwa mtoto, ukakimbilia kuoa?

Esther najua ni ww japo stori umeivunja vunja ili ufiche I'd yako Kuna baadhi ya matukio umeyabadilisha ila matukio muhim uliyo yagusa nauhakika ni wewe hata jina la salim ulilonipa siyo langu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jf inapenda mambo ya bikira

Nikisema ninayo kuna Zawadi humu ama [emoji38]
Utapiga hela kabla hata wajuba hawaja prove kama kweli wewe ni bikira, we tangaza tu hapa kuwa una bikira uone utakavyo fuatwa pm na kuombwa namba 😄
 
Utapiga hela kabla hata wajuba hawaja prove kama kweli wewe ni bikira, we tangaza tu hapa kuwa una bikira uone utakavyo fuatwa pm na kuombwa namba [emoji1]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Sasa bikira ndo nini yaani ni dawa ya magonjwa ama
 
Jamaa hakula ndio maana anarudirudi. Haamini kama alikosa.
Jitahidi usilazimishe mambo, baki na msimamo wako.
 
Jua linazama hilo lazima ukumbuke fursa ulizopoteza.
 
Mhhh Kazi ipo
 
Mwanzo ilikuwa dini ukakosa mume kwa akili za kitoto na kijinga...

Sasa utakosa mume bora kwa ajili ya uke wenza...nazo ni akili za kijinga na kitoto...poleh ..

Subiri aje akutafute tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…