Salim nakupenda! Kwanini hukunivumilia na unajua nilikuwa mtoto, ukakimbilia kuoa?

Salim nakupenda! Kwanini hukunivumilia na unajua nilikuwa mtoto, ukakimbilia kuoa?

Mpaka hapo huyo akiolewa tayari ni tatizo kwa mumewe. Huyo Salim tayari ni wake, hajamgonga ni vile tu Salim hajataka ama lah jamaa ana kauwoga au kaustaarabu fulani ila akikengeuka anajipigia atakavyo bila hata hiyo ndoa anayoiwazia.

[emoji3][emoji3] usikariri kila mtu na hulka yake
 
Shoga pole sana,
Wewe ndiwe umemtafuta huyo bwana Salim baada ya kuona jua linazama hakuna shela wala mchumba,

Sasa usiwe kidudumtu kwenye Ndoa ya Watu, endelea kusubiri Mlokole mwenzio na nyie mnavyochelewa kuoana sasa, hapo uishi na Mtu akuzalishe watoto watano ndio mkabariki Ndoa, uso unakua umeshuka hata Make Up haikai, [emoji119][emoji1787]

Nilichoandika ndio sahihi
Hayo unayoyaongea siyajui

Nasubiri ushaurii wako [mention]Dream Queen [/mention]
 
Follow your heart kama unampenda Salim and ni mtu mwema kwako basi Olewa nae!! Hakuna waowaji siku hizi wanaume wengi ni wachezeaji!!! Maisha ni yako wewe sio ya Mama yako... Don't sacrifice your Happiness kwaajili ya kufurahisha Family.. Dunia mapito tu, hakuna ataebaki Milele.

Asante [mention]Minah [/mention]
 
Naomba ni kunukuu

"NB: Mimi na Salim mpk leo hii Hatujawahi kufanya mchezo Mchafu yaani Salim hajaninyandua wala mimi sijanyanduliwa na Salim"

Haya mapenzi bwana imagine kuna mwamba asha kutia vya kutosha na wala hataki kabisaa kukusikia, halafu Salim ndio hapati usingizi kisa wewe[emoji849][emoji849].Any way ni ecosystem [emoji85][emoji85]

Hayo ni mawazo yako hayana uhalisia Kama jina lako
 
Mimi mahusiano yangu ni ya kuchart hakuna kunyanduana


Jibu

Hakuna naenyanduana nae nimesahau hayo mambo zamani sana nina zaidi ya miaka 4 [emoji849]
Kama wife material hivi ?🤔
 
Shaui hili ni zito ...tena sana NGOJA NIKAE KIMYA TU.
 
Siliwi kwasababu ya kutaka ndoa ni maamuzi yangu binafsi

Ila sio nimpe penzi et kwasababu nataka anioe ni vile tu sijisikii na wala sijatamani kukulana nae

Kiufupi kuliwa kwangu na yeye hakuhusiani na yeye kunioa naweza kuamua kumpa na nisitake anioe na naweza nisimpe kabisa na nisiolewe nae
Mtunzie atakaye kuoa bana, motto mbichi haipendezi kuwa mke wa pili.
 
Siliwi kwasababu ya kutaka ndoa ni maamuzi yangu binafsi

Ila sio nimpe penzi et kwasababu nataka anioe ni vile tu sijisikii na wala sijatamani kukulana nae

Kiufupi kuliwa kwangu na yeye hakuhusiani na yeye kunioa naweza kuamua kumpa na nisitake anioe na naweza nisimpe kabisa na nisiolewe nae
Mtunzie atakaye kuoa bana, motto mbichi haipendezi kuwa mke wa pili.
 
Hivi watu wanavyosemaga hakuna mwanamke anaeweza kuvumilia ny3g3, wewe kwa maoni yako(kwa experience yako) unahisi lina ukweli ?

Uamuzi wa mtu binfsi
Kama mwanamke unamchunga sana ili asikucheat
Akiamua anaweza kukucheat ata na baba ako ndani

Kulalwa ama kutolalwa ni maamuzi ya mwanamke akiamua anafanya asipoamua ndio kama hivyo
 
Back
Top Bottom