mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Bavicha mtashiriki uchaguzi huo mdogo?Poleni wafiwa
Kwa hiyo unafulahia kifo chake?... Pole nyingi kwa wafiwa; RIP diwani. Ila itoshe tu kusema diwani afariki dunia maana wote walipitishwa kwa nguvu kwa maslahi ya CCM.
Ni WEO?R.I.P WEO
Wezi wa kura wanapukutika mdogo mdogo kudadadeqBavicha mtashiriki uchaguzi huo mdogo?
Matokeo ya DHULMA ya UCHAGUZIHabari za muda huu
Habari zilizotufikia toka Mwanga mkoani Kilimanjaro zinasema Diwani Salim Zubery wa kata ya Kileo Halmashauri ya Mwanga amefariki dunia muda mfupi uliopita.
Je, mtashiriki uchaguzi mdogo? Maana wezi wenu wa kura si wamekufa?Wezi wa kura wanapukutika mdogo mdogo kudadadeq
Habari za muda huu
Habari zilizotufikia toka Mwanga mkoani Kilimanjaro zinasema Diwani Salim Zubery wa kata ya Kileo Halmashauri ya Mwanga amefariki dunia muda mfupi uliopita.
Hahaha wanamalizana wao kwa waoHabari za muda huu
Habari zilizotufikia toka Mwanga mkoani Kilimanjaro zinasema Diwani Salim Zubery wa kata ya Kileo Halmashauri ya Mwanga amefariki dunia muda mfupi uliopita.
Mtapukutika nyoteJe, mtashiriki uchaguzi mdogo? Maana wezi wenu wa kura si wamekufa?
Je, mtashiriki uchaguzi?Mtapukutika nyote
sasa si mkazike kwani shida nini?K
Wa hiyo unafulahia kifo chake?
Hiyo pole unaitoa kwa lengo lipi?
Kifo chake kimetokana na siasa mpaka uzungumzie kuchaguliwa kwake?
Sioni maana ya ninyi kuomba maridhiano na umoja wa kitaifa.
Mnachokuomba suo mnacho kiishi.
Nawaona kama watoto wa nyoka tu, shrtani alishakaa mioyoni mwenu.
Ward Executive Officer - Katibu Kata; mtendaji wa kataR.I.P WEO