TANZIA Salim Zubery, Diwani kata ya Kileo Wilaya ya Mwanga afariki dunia

TANZIA Salim Zubery, Diwani kata ya Kileo Wilaya ya Mwanga afariki dunia

Habari za muda huu
Habari zilizotufikia toka Mwanga mkoani Kilimanjaro zinasema Diwani Salim Zubery wa kata ya Kileo Halmashauri ya Mwanga amefariki dunia muda mfupi uliopita.
Poleni wote wafiwa na Mungu awape ustahamilivu katika kipindi hichi kigumu. Tunajipanga kwa mkono wa pole. Uliye post tupatie namba kwenye inbox.
 
Bavicha mtashiriki uchaguzi huo mdogo?
Bila tume huru kwa uchache hawatakuwa tayari kushiriki,keanu madai ni mengi ikiwa ni pamoja na Katiba mpya,muonyeshe hata nia njema kuwashawishi.
 
Habari za muda huu
Habari zilizotufikia toka Mwanga mkoani Kilimanjaro zinasema Diwani Salim Zubery wa kata ya Kileo Halmashauri ya Mwanga amefariki dunia muda mfupi uliopita.
 
Una saikolojia gani taahira wewe?
This my day yani Member wengi humu na wa approach ni wa win kisaikolojia wananikwepa basi inaniuma kichizi nilitaka nikupite ila nikajisemea tu ebu mchokonoe kidogo akutukane. Kwanza ukakausha ikaniuma nikataka nikuwache ila kitu kwa mbali kikaniambia nikurudie. Yani ulivyonitukana tu dah nikajisemea Dogo tayari kashaingia mkenge.

Yani kuwini wadau kisaikolojia humu ndo furaha yangu ni mda sasa. You made my weekend
 
Teamu Washenzi kumbe nao huwa wanakufaga, Safi sana
 
Back
Top Bottom