TANZIA Salim Zubery, Diwani kata ya Kileo Wilaya ya Mwanga afariki dunia

Kwa taarifa yako mimi sina ustaarabu wowote. Umekosea pa kujaribu. Mimi ukileta upumbavu wako wala sikucheleweshi. Ni jino kwa jino.
 
Kwa taarifa yako mimi sina ustaarabu wowote. Umekosea pa kujaribu. Mimi ukileta upumbavu wako wala sikucheleweshi. Ni jino kwa jino.
Dogo kubali tu nimekuwin kisaikolojia. Yani nafurahi sana kucheza na akili za wadau ambao hata hawanijui na hatujuani. Inflicting pain without physical encounter. Dah max asante kwa JF!
 
Habari za muda huu
Habari zilizotufikia toka Mwanga mkoani Kilimanjaro zinasema Diwani Salim Zubery wa kata ya Kileo Halmashauri ya Mwanga amefariki dunia muda mfupi uliopita.
Hapa mnafanya maandalizi tu ya kisaikolojia kuna kitu mnakipika ambacho kitazusha taharuki muda sio mrefu.

Mlianza hivi hivi Januari, Februari na Machi 2021.......Tanzia kila kukicha wakati rekodi za kidunia kila siku na dakika zinabadilika
WORLD POPULATION
1. 7,878,195,114 Current World Population
2. 72,885,296 Births this year 2021
3. 347,580 Births today 9th July 2021
4. 30,598,993 Deaths this year2021
5. 145,922 Deaths today 9th July 2021
6. 42,286,303 Net population growth this year 2021
7. 201,658 Net population growth today as of 9th July 2021

Tazama uwiano wa kuzaliwa na kifo namba tatu na tano kwenye orodha

Kadri unavyotangaza kifo cha mwenzio ndio cha kwako unakisogeza taratibu. Kuna mtu alikuwa anapandisha matangazo sana ya jinsi hiyo lakini juzi naye katangazwa na wengine kaondoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…