Salimu Kikeke akipaka Poda.

Salimu Kikeke akipaka Poda.

Cyo vzur kutoa fatwa ya dini Kama elimu yako ndogo unapotosha umma ni wapi uislamu umekataza mwanaume kupaka poda
 
Unapoingia studio au hata unavyopiga passport size photo unatumia face powder sio kwa ajili ya kujiremba bali ili ku-absorb camera light.

Kama umeshawahi kuona picha sometimes inakuwa na maeneo yameng'aa sana kv kwenye paji la uso, puani n.k; unatumia poda ili kuzuia hizo reflections.
 
Back
Top Bottom