Now and then
JF-Expert Member
- Dec 19, 2024
- 613
- 1,729
Anakata kimba choo passportWewe umefanya nini mpaka Sasa 🤔🤔, Au umevua shart upo kibarazani umelala??
😁😁😁Anakata kimba choo passport
Uwezo mdogo wa nini tusi-under-rate professional za watu sababu ya siasa,Ni kati ya Waandishi waliobebwa tu na BBC, ana uwezo mdogo sana
Ameshazama kwenyw mfumo wa wenye nguvu.Huyu jamaa anajiita Salum Kikeke.
Nafasi aliyokuwa nayo BBC
Uzoefu wa Kazi
Exposure n.k
Nilitegemea akirudi Tanzania awe Kama Diamond au Samatha au Kama Msuva .
Yaani aanzishe Project itakayomtofautisha yeye na waswahili .
Ila yupo anapambia siasa za Ccm zilizojaa utapeli ,wizi ,majungu na ffitina.
Anakunya mavi magumu chooni
Mimi ninacho fanya ni hikiWewe umefanya nini mpaka Sasa 🤔🤔, Au umevua shart upo kibarazani umelala??
| CNDD-FDD |
Ndo tatizo la wafuasi wa chadema,mtu akiwa tofauti na chama chenu automatically anakuwa hana akiliNi kati ya Waandishi waliobebwa tu na BBC, ana uwezo mdogo sana
Mkuu kila binadamu ana ndoto na matamanio yake katika mipango yake hili lipo hivyo tumkosoe kwa namna nyingine na huwezi jua anawaza nn mkuu. Japo tupo kwaHuyu jamaa anajiita Salum Kikeke.
Nafasi aliyokuwa nayo BBC
Uzoefu wa Kazi
Exposure n.k
Nilitegemea akirudi Tanzania awe Kama Diamond au Samatha au Kama Msuva .
Yaani aanzishe Project itakayomtofautisha yeye na waswahili .
Ila yupo anapambia siasa za Ccm zilizojaa utapeli ,wizi ,majungu na ffitina.
Jambo jema mkuuMimi ninacho fanya ni hiki
Quoted
""Kaka nina safari ya Tanga saa tisa
Izo zinahitajika hospitali kuna mtoto yupo ICU anahitaji ventilation tulikosa size sahihi ya kumsaidia
saa 2 usiku nikifike nazo Tanga mtoto asaidiwe""
Baada ya kuto pokea simu ZAKE kama Saba hapo nilikua naongea na simu nyingine kwa muda mrefu kidogo ndipo huo ujumbe ukaingia nika shuhurikia fasta fasta nikamsaidia akapata HUDUMA
Huo ndio utu na ubunge wa kweli na kuokoa uhai wa watu.
Huo ndio ubunge wangu Mimi.
Asante.
CNDD-FDD
Hiv Kuna uwezekano huku jf Kuna wachaw kabsaa?Ni kati ya Waandishi waliobebwa tu na BBC, ana uwezo mdogo sana
😎 inawezekana labda hata akina Tuntemeke Sanga, Njelu Kasaka, Selilii, Samwel Sitta nk nao walikuwa tu kama akina Dotto Magari, Mwijaku, Shilole, Bashite nk.Huyu jamaa anajiita Salum Kikeke.