Salimu Kikeke kiukweli maisha hayakumuendea vizuri

Salimu Kikeke kiukweli maisha hayakumuendea vizuri

Huyu jamaa anajiita Salum Kikeke.

Nafasi aliyokuwa nayo BBC
Uzoefu wa Kazi
Exposure n.k

Nilitegemea akirudi Tanzania awe Kama Diamond au Samatha au Kama Msuva .

Yaani aanzishe Project itakayomtofautisha yeye na waswahili .

Ila yupo anapambia siasa za Ccm zilizojaa utapeli ,wizi ,majungu na ffitina.
Kwenye siasa kuna pesa..hizo project fanya wewe mkuu...acha jamaa apambane
 
Ninachotambua anajua kuhoji,ana ka umagharibi fulani mixer uswahili full charming akili ina charge,sio mbaya ngoja tuone kwenye siasa labda ataleta mabadiliko kwa kitengo atakachopata
 
Changamoto alitumiwa vibaya na magharibi kutumia platform ya BBC kuwadhalilisha viongozi ambao Leo hii ndio anawategemea wamkatie keki ya taifa! Ajipe muda kwenye kujipanga kwake akiyakumbuka makosa yake ili awe na nguvu kwa anachokipigania! Zuhura Yunus yupo safiiiii shida nini kwake? Tuendelee kujifunza
 
Nzurii sanaa mkuu nimependaa maoni hayaa.

Ukiwa na exposure unaziona fursa nyingi Sana ! Tanzania Kuna fursa Sana hata Kama hauna mtaji wa kutoshaa

Ivi hii CROWN 👑 MEDIA NI YA KWAKE???!! AU NI KIBARUA/LABOUR
Pale ni mambo ya kuweka hisa Ila uwepo wake crown kuna creativity fulani ipo nadhani kwakuwa jama kapata watoto ukubwani lazima aendelee kupambana Sana Ada za sasa hivi zimechangamka anabidi kuwa na multiple stream of income.
 
Yes ni kweli kabisa, wabunge na viongozi wetu ni zao la jamiii yetu, tukizingatia ule uzi wa IQ za wabongo nani kwani yupo tofauti? awe msomi, mjinga, prof, phd holder, fomfoo na la saba wote tunafanana kama watoto wa baba na mama mmoja

Kwani jekee alipokuwa mbunge na waziri si alikuwa mediocre tu, na hata alipochukua urais ilikua ni business as usual tu na akataka kuleta katiba mpya mwenyewe bila kushinikizwa na mtu, ilipokaribia kupatikana kwa u-mediocre wake pia akarudi kuharibu mchakato mzima bila kujali mabilioni ya walala hoi yaliyochomwa pale dom! Angekua Rostam asingefanya ukenge wa namna hii!
Sina uhakika kama umeamua kuandika comment ya kuniharibia siku na kunitoa machozi
 
Sina uhakika kama umeamua kuandika comment ya kuniharibia siku na kunitoa machozi
Ndio ukweli kaka tupo sawa wote tu hatuna watu smart nchini bahati mbaya sana! Na wanaojiona wapo smart wanatumiwa na mediocre then tunarudi kushangilia tu kama mazuzu!
 
Back
Top Bottom