Salimu Kikeke kiukweli maisha hayakumuendea vizuri

Tusipangie Watu Maisha.
Kama wameamua Kua CCM, let them be, Ila wasianze kulia lia zikianza spana πŸ˜‚
 
Pole sana kwa majukumu mkuu, najua unapambana kuokoa uhai wa binadamu ili aendelee kuishi mara ya pili πŸ™πŸ™πŸ™
 
Unachotakiwa kujua kule alikuwa analipwa kiasi gani ,kakusanya kiasi gani ..Baadhi ya mishahara nje kama unaishi huko hauna cha maana cha kusave ..So ulitarajia atakuwa na bilion kadhaa benki..
 

Kabla ya kusema hayajamwendea vyema ni pale utakapokutana nae na kumuuliza ni nini matazamio yake yalikuwa, yalivyo na anakoelekea/life accomplishment/achievement. Ni uanda mpana kuzungumzia mafanikio ya maisha ya mtu bila kumhusisha.

Kipimo cha ufaulu au kutokufaulu kwenye maisha hakupimwi kwa vitu vinavyonekana tu/tangible. Tuna matamamio na malengo tofauti kila mmoja wetu.

Kuna mwingine mafanikio yake na amani si kurundika mali na miradi bali kusaidia jamii hivyo kila akipatacho hutumia hivyo. Mwingine ni kuwa kiongozi na mwingine kufanya kazi sehemu hii au ile, mwingine achezee timu ile analipwa kiasi gani haimhusu. Hivyo tuzingatie hayo kila tunapofanya tathmini ya mafanikio ya watu.

NB: Tujifunze: What is life achievement/success/accomplishment?
 
Ubunge raha. Wewe jiulize kimei na kuwa CEO wa bank kubwa CRDB bado alijikita kwenye ubunge.
 
Asilimia kubwa ya wabongo awe amesoma awe hajasoma mawazo yao ya mwisho ni kuwa bungeni mpaka kifo kiwachukue. Wakati huo huo wa kwanza kusimanga wenzao wajiajiri
Inafikirisha Sana umo bungeni sijui kuna nini
 
Ubunge wako ni Bora mara mia kiongozi....pambania kwaajili yako na jamii πŸ™πŸ™πŸ™
 
Kikeke yupo kwenye right path kabisa let him be, Nchi Hii kitu gani utafanya Profitable kikupe hela kama sio siasa?

Bungeni pale ndio maamuzi yote ya nchi yanapita wabunge wana influence sana na Serikali inawalinda ili nayo itawala Kwa amani ivo moja ya sehemu sensitive nchi hii ni Bunge wala Mawaziri na Wizara wana taarifa nyingi ambazo husaidia mpaka decisions za Wafanyabiashara.
 
we jamaa bana sasa hao uliowataja ndio wana nini?
 
Duh! Kikeke awe na uwezo mdogo!!Wivu ukizidii unaleta wehuu
Huwezi kuwa na uwezo mkubwa halafu ukaungana na wauaji haiwezekani

Kwanza hata vipindi anavyofanya hivi sasa kwenye ajira yake mpya aliyoajiriwa na Mchengerwa (sijui kama hilo unalijua), Uwezo wake ni Aibu tupu!

Unatoka BBC unakuja kuajiriwa na Mchengerwa, una akili kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…