Salimu Kikeke kiukweli maisha hayakumuendea vizuri

Aliacha kazi bila kujiandaa!
 
Asilimia kubwa ya wabongo awe amesoma awe hajasoma mawazo yao ya mwisho ni kuwa bungeni mpaka kifo kiwachukue. Wakati huo huo wa kwanza kusimanga wenzao wajiajiri
Mfano Majaliwa, cheo alichonacho sasa kifuatacho ni kustaafu au abadili ujuzi akatumike sekta ingine kama kilimo ila kwanza apitie Veta ili akapate ujuzi kabla kwenda kokote.
Nyerere alikuwa mkulima baada ya kustaafu. Kosa lake nionavyo mm; alichezea sana mbolea mpaka akapata kansa ya damu iliommaliza. Hawa viongozi wakistaafu wapumzike bila kuruhusiwa kwenda sekta ingine kama wana ubavu, basi wapitie veta
 
Ushauri kutoka kwa mtu anaelala sebuleni kwa shemeji yake kama baiskeli
 
Ana Target yake alambe teuz uwazir wa habari kama pena.
 
Hana cha maana zaidi ya mdevu tu anahisi kufanya promo za ccm kule crown kutampa ubunge huo ajifunze kwa diaro na star tv yake mwisho media inataka kufa tu
 
Nzurii sanaa mkuu nimependaa maoni hayaa.

Ukiwa na exposure unaziona fursa nyingi Sana ! Tanzania Kuna fursa Sana hata Kama hauna mtaji wa kutoshaa

Ivi hii CROWN 👑 MEDIA NI YA KWAKE???!! AU NI KIBARUA/LABOUR
 
Nzurii sanaa mkuu nimependaa maoni hayaa.

Ukiwa na exposure unaziona fursa nyingi Sana ! Tanzania Kuna fursa Sana hata Kama hauna mtaji wa kutoshaa

Ivi hii CROWN 👑 MEDIA NI YA KWAKE???!! AU NI KIBARUA/LABOUR
Majungu si mtaji
 

Yes ni kweli kabisa, wabunge na viongozi wetu ni zao la jamiii yetu, tukizingatia ule uzi wa IQ za wabongo nani kwani yupo tofauti? awe msomi, mjinga, prof, phd holder, fomfoo na la saba wote tunafanana kama watoto wa baba na mama mmoja

Kwani jekee alipokuwa mbunge na waziri si alikuwa mediocre tu, na hata alipochukua urais ilikua ni business as usual tu na akataka kuleta katiba mpya mwenyewe bila kushinikizwa na mtu, ilipokaribia kupatikana kwa u-mediocre wake pia akarudi kuharibu mchakato mzima bila kujali mabilioni ya walala hoi yaliyochomwa pale dom! Angekua Rostam asingefanya ukenge wa namna hii!
 
Moshi Vijijini, huyu jamaa anaenda huko vijiji vya wachagga ata toboa kweli?
 
Bwana salim ni assets kwa serikali, amakuwa huku na huko ku gathering data naku feed mfumo, licha yakujifichia katika tasnia ya habari na hivi ndivyo ilivyo

Wana kilimanjaro pale wamebanwa na serikali kwa sababu ya chadema, ila kama sio hivyo hilo jimbo ni ngumu kwa ccm kushinda ukiachilia mbali mchezo wao wakati wa uchaguzi.
 
Abood, Shabiby wabunge

Mo aliwahi kuwa mbunge

Unataka kusema hawa matajiri maisha hayakuwaendea vizuri
​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…