Salimu Kikeke kiukweli maisha hayakumuendea vizuri

Kwenye siasa kuna pesa..hizo project fanya wewe mkuu...acha jamaa apambane
 
Ninachotambua anajua kuhoji,ana ka umagharibi fulani mixer uswahili full charming akili ina charge,sio mbaya ngoja tuone kwenye siasa labda ataleta mabadiliko kwa kitengo atakachopata
 
Changamoto alitumiwa vibaya na magharibi kutumia platform ya BBC kuwadhalilisha viongozi ambao Leo hii ndio anawategemea wamkatie keki ya taifa! Ajipe muda kwenye kujipanga kwake akiyakumbuka makosa yake ili awe na nguvu kwa anachokipigania! Zuhura Yunus yupo safiiiii shida nini kwake? Tuendelee kujifunza
 
Nzurii sanaa mkuu nimependaa maoni hayaa.

Ukiwa na exposure unaziona fursa nyingi Sana ! Tanzania Kuna fursa Sana hata Kama hauna mtaji wa kutoshaa

Ivi hii CROWN 👑 MEDIA NI YA KWAKE???!! AU NI KIBARUA/LABOUR
Pale ni mambo ya kuweka hisa Ila uwepo wake crown kuna creativity fulani ipo nadhani kwakuwa jama kapata watoto ukubwani lazima aendelee kupambana Sana Ada za sasa hivi zimechangamka anabidi kuwa na multiple stream of income.
 
Sina uhakika kama umeamua kuandika comment ya kuniharibia siku na kunitoa machozi
 
Sina uhakika kama umeamua kuandika comment ya kuniharibia siku na kunitoa machozi
Ndio ukweli kaka tupo sawa wote tu hatuna watu smart nchini bahati mbaya sana! Na wanaojiona wapo smart wanatumiwa na mediocre then tunarudi kushangilia tu kama mazuzu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…