Salimu Kikeke kiukweli maisha hayakumuendea vizuri

Ndo tatizo la wafuasi wa chadema,mtu akiwa tofauti na chama chenu automatically anakuwa hana akili
Na hao ndio wanapambania demokrasia.

Kwao tafsir sahihi demokrasia ni kuwaunga mkono wao tu sio wengine.

Ndio maana huwa nasema hata Chadema akikaa pale alipokaa Ccm atatenda yakufanana nae hakutakuwa na hiyo demokrasia inayosemwa.

Mfano mwingine kuna wajumbe walikuwa wanamkosoa Lissu karibu wote waliitwa kuhojiwa.
 
Hata reasoning yake ni Too low, uwezo wake wa kutafakari mambo ni chini sana
Wewe uwezo wako umeupima na nini ukajiona upo too high? Hivi unafikiri BBC wajinga wafanye kazi na mtu mwenye reasoning ndogo na uwezo mdogo wa kutafakari kwa zaidi ya miaka 20? Ungekua wewe ungeweza?
 
amebaki na Gari L/c na nguo za nyinyiemu 😁😁
 
Huu ndio ukweli.

Ifike mahali Watanzania tusanuane kwa kuambiana ukweli, ili tujenge taifa huru na lenye maendeleo.
 
Angekuwa Kamanda mavazi ungemueshimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…