Salimu Mwaimu: Naibu Katibu mkuu CHADEMA Zanzibar

Salimu Mwaimu: Naibu Katibu mkuu CHADEMA Zanzibar

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
images (1).jpg


Licha ya Kumpa Hongera kwa nafasi yake hii ya kisiasa nina haya yafuatayo


  1. Inahitaji Ujasiri sana kujiunga na siasa kwa nchi hii hivyo naamini SALIM ameguswa sana na yuko tayari kwa lolote katika hili
  2. Najiuliza majaliwa ya ajira yake VIDACOM/CHANNEL 10
  3. Nikiangalia sura yake na kauli zake napta ukakasi sana kama yuko serious na business (HUENDA NI PANDIKIZI?)

sijui wenzangu mnasemaje
 
Hapana, tumpe muda tumuone! Ni mapema sana kumjengea I wasiwasi huo lakini kama ulishawahi kumsikiliza kwenye baadhi ya vipindi vyake nadhani utakua na jambo la kusema Japo kwa ufupi
 
Amavubi
Kwenye namba 3 ume-assume kwamba wanajukwaa hili wamezisikia kauli zake.Ninaomba mfano wa hizo kauli zake
 
Last edited by a moderator:
Salum Mwalimu toka chuoni IFM anapenda migomo.Chupuchupu asigraduate mitihani ya special ndio ilimtoa.Hizi ni back ground tuu kwenye siasa huwa tuna review.
Alikosa uprezidaa chuo kwa kura chache ila ni fighter tumpe muda tutaona kama yaliyomo yamo.
 
salum mwalimu toka chuoni ifm anapenda migomo.chupuchupu asigraduate mitihani ya special ndio ilimtoa.hizi ni back ground tuu kwenye siasa huwa tuna review.
Alikosa uprezidaa chuo kwa kura chache ila ni fighter tumpe muda tutaona kama yaliyomo yamo.
kama ndivyo anaunga mkono hoja yangu ya kwanza
 
hapana, tumpe muda tumuone! Ni mapema sana kumjengea i wasiwasi huo lakini kama ulishawahi kumsikiliza kwenye baadhi ya vipindi vyake nadhani utakua na jambo la kusema japo kwa ufupi
sawasawa
 
Back
Top Bottom