Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,258

Licha ya Kumpa Hongera kwa nafasi yake hii ya kisiasa nina haya yafuatayo
- Inahitaji Ujasiri sana kujiunga na siasa kwa nchi hii hivyo naamini SALIM ameguswa sana na yuko tayari kwa lolote katika hili
- Najiuliza majaliwa ya ajira yake VIDACOM/CHANNEL 10
- Nikiangalia sura yake na kauli zake napta ukakasi sana kama yuko serious na business (HUENDA NI PANDIKIZI?)
sijui wenzangu mnasemaje