kama ndivyo anaunga mkono hoja yangu ya kwanzasalum mwalimu toka chuoni ifm anapenda migomo.chupuchupu asigraduate mitihani ya special ndio ilimtoa.hizi ni back ground tuu kwenye siasa huwa tuna review.
Alikosa uprezidaa chuo kwa kura chache ila ni fighter tumpe muda tutaona kama yaliyomo yamo.
Ni body language kumbe!Nilifikiri ulimsikia mahali.nimemaanisha body language