Hizi heka heka zote zilizopo sasa havi kati ya Diamond na Clouds media zina lengo LA kutafuta tension ya watu dhidi ya ujio wa Wasafi TV na redio na hazina lengo lingine.
Ni mwanzo wa kuwaandaa wadanganyika ili ionekane kuwa pande hizi mbili ziko katika ushindani na watu wataanza kutengeneza timu kadhaa!
Sioni sababu nyingine Bali wasanii wameshazoea kuwa huwezi kuwika kwenye jambo au suala Fulani bila kulitafutia skendo au Vurumai! Wao wanafahamu. So msishangae hata kuona hii mitiguano lengo ni kama nilivyoainisha hapo juu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.