Sallam alifanya nini mpaka akazuiwa kuwa anaingia marekani??

ngoja niwe msomaji tu hapa,,maana kila mtu atasema lake ,,wengne watatunywesha chai hapa mpaka tukimbie
 
Umri km wa Sallam kuzuiwa kuingia Marekani ni sawa na mkeo kuliwa na house boy wako. Inauma sana, vijana tusikimbilie mambo ya ukanjanja kwani hutu cost sana siku za usoni.
 
M
Ishu ya MB wa TIOT kufulia naifahamu.. Sijajua inahusiana vipi na Sallam ila nafahamu politics zimechangia sana.. Sababu za kipolitiksi niziweke?
kuu tafadhali tuwekee hizo sababu za kipolitikisi basi kumhusu tajiri wa moro utd merey balhabou
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…