Sallam athibitisha Harmonize kujiondoa WCB

Achanga ungese we jamaa, huko South Sudan unako kusema kila siku, hata akienda mandojo atajaza tuu uwanja
kuwa na heshima kwa Malegend wa muziki wa bongo bwana mdogo unakopita wamefyeka wao njia
 
Mkuu unajua kusoma? Nimeandika hawaelwani tu??
Mkuu Sijui kusoma ila as far as reading skills are concerned I know we have scanning, skimming , extensive reading and intesive reading.
And for ya case I just skimmed. Need I say more chief ?
 
Mkuu Sijui kusoma ila as far as reading skills are concerned I know we have scanning, skimming , extensive reading and intesive reading.
And for ya case I just skimmed. Need I say more chief ?
Nimesema hawaelewani vizuri kama mwanzo! Sijasema hawaelewani. Katika comprehension these phrases are different
 
Ruge alikuwa na Clearance kubwa kwa vile tu alikuwa mtu wa system pia.
 
Harmonize anaenda kuwa historia kwenye muziki wa bongofleva uenda tukashangaa sana pale ambapo hatutasikia tena muziki wa kueleweka kutoka kwake na ukawa mwisho wake kisanaa
Upande wa pili tunaenda kuona burudani murua ya ushindani ambayo itaua kabisa kiburi, majivuno na baadhi ya upotosha wa maadili kwa vijana wetu wa kitanzania uliokuwa ukionyeshwa na kufanywa na Wasafi (WCB) katika anga ya Muziki Tanzania. Kila la heri 'Harmonizer'.
 
Utakua unaishi nje ya muda aisee, upo sitimbi ama?

niko hadi huko instagram,ila nimezoea kuona nywele zake za rangi rangi na genge LA mabaunsa

na yule mzungu.

*hapa sitimbi kwa sasa ni mjini;sawa na kibaha kama ushafika..

Acha kukariri:
 
Sasa wewe Nifah mahaba yako kwa huyo Lavalava ndio kuna kufanya ujionee unajua muziki?
 
Kam anajua hawez shdwa kufanya mzk. Labd ungesem kwann atapotea au unahs kipaji hana
 
Acha uchawi ndugu, usiishi kwa kukariri. Nyimbo nying alizotoa hiv karibun syo za wasafi[emoji3]. Aliyekuambia kila anayetoka wasafi anafirisika nan
 
Bado unawaza huo upumbavu harmo atapotea ? Au ulishapata akili
 
Bado unawaza huu upumbavu au ulishapata akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…