Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Kwenye huu uzi nimeona walozi wengi mno.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HIvi mondi atakua na miaka mingapi sasa ?Nime assume tu Harmonize akanilazimisha kua ana kipaji kuliko Mondi..sitom bishia ila kwasasa hivi mi akili yangu nafsi na roho inaelewa Hrmonize hamuwezi Mondi kwa chochote si Kipaji wala Kiki..Mondi ni level zingine akubali akatae.
Kuwa non stop masikion mwa watu from 2008 sio mchezo hata kama ni uchawi bhasi huo uchawi utakua wa Newyork
Tapeli la forex. Sio?Hajuagi chochote huyo Tapeli,zaidi ya matusi tu.
Music wa Nigeria na Tanzania ni mbingu na ardhi.Mwisho wa siku inabidi mtambue kuwa WCB sio kundi bali ni music label! Kila mtu ana uhuru wa kuwa na management yake! Kama ameamua kuodoka ina maana kaona label yake haiwez kumfikisha kule anapotaka kufika. Huenda anaanzisha label yake mwenyewe tofauti na WCB itakayomfikisha mbali yeye na kuwainua wasanii wengine.
Mbona Diamond alipoachana na management yake ya mwanzo na akaanzisha label yake na managers wake kuna watu walisema anapotea ila matokeo yake amepiga hatua kubwa sana na akawatoa wasanii wenzanke hadi level za kimataifa kama akina Harmonize, Rayvany na wengine?
Kwa nini yeye Harmonize asifungue ya kwake na akawachukua wasanii wengine na kuwa push kufikisha mziki wao nje ya Africa kama alivyofanya Diamond? Hii ndio maana halisi ya kuthamini kudaidiwa (na wewe kusaidia wengine)
Hivi nyie mnafurahi kuona mziki wetu unabebwa na hawa wasanii wawili watatu tu nje ya Tanzania? Hamna kiu ya kuona akina Diamond wengine??
Na kama mna kiu ya kuona akina Diamond wengine mnategemea ni msanii mwingine anaweza kuwa na nguvu kama Diamond kama sio Harmonize? Alikiba ambae ndo tulimuona kama msanii mkubwa wa kuwapeleka wengine nje ya Africa amedevela, hata yeye kashindwa kujifikisha huko!
Lakini pia Diamond anahitaji mshindani haswa! Na WCB wanahitaji label nyingine itakayotoa ushindani mkali! Ushindani huu utapeleka mziki wetu mbali zaidi na zaidi.
BTW wenzetu wamechoka kusikia neno WCB katika kila nyimbo inayobamba nje! Huko nje tunaonekana hatuna studios za maana zaidi ya zile za WCB, hatuna wasanii wa maana zaidi ya wale wa WCB!
Wenzetu Nigeria ukisikia au kuangalia nyimbo zao studios zao nitofaut tofauti, video directors wao ni tofauti tofauti na labels ziko nyingi!
Kila la heri kwa Kondeboy. Sisi mashabiki wa WCB tutaendelea kukupa support ya kutosha maana tunautakia mema mziki wetu. Achana na hao wanaothamini kulamba miguu ya mtu bila kuangalia mbele.
23HIvi mondi atakua na miaka mingapi sasa ?
Kumbe unalijua hilo tapeli la ForexTapeli la forex. Sio?
Nalionaga linavyotambishia kupata pesa nyingi kupitia forex.Kumbe unalijua hilo tapeli la Forex
Ishatupwa kapuni na media.Lete ushahidi
[emoji736] AibuHuoni haibu kuleta story za kutunga na ujuaji mbele ya watu waliokuzidi umri na maarifa ?
Na sababu hasa ni hiyo! Badala ya kutaka watu wavunje miiko na kushindana na wanigeria mnataka muendelee kubweteka huku mkijisemea kauli zenu hizo za kizembe na kujinung'unisha eti "wanigera wametuzidi mbali sana"Music wa Nigeria na Tanzania ni mbingu na ardhi.
Hahaha Tuwekeane screen shot za Bank Balance Mimi na wewe ..Nalionaga linavyotambishia kupata pesa nyingi kupitia forex.
AY, na ndio ilikua project ya kwanza ya Sallam, kumbuka Sallam kawasimamia Navy Kenzo, WCB na AY, angalia mafanikio yao kisha niulize swali lingine...Kabla ya Diamond mkubwa Fela na Salam waliwahi kumfikisha msanii gani level ya kimataifa??
Miss Ruo..
hahahaha.
Si kweli kama Sallam alikua manager wa AY toka anaanza Sallam ameanza nae 2016. Na sidhan kama walikaa nae hata mwaka ila ni kwa project fulan huwa anajitegemea kupitia kampuni yake ya unit entertainment na wakishirikiana na FA.AY, na ndio ilikua project ya kwanza ya Sallam, kumbuka Sallam kawasimamia Navy Kenzo, WCB na AY, angalia mafanikio yao kisha niulize swali lingine...
Hujanielewa Mkuu, nimemanisha kwa Sallam msanii wa kwanza kumsimamia kazi zake (hata kama ni baadhi) alikua AY, na alimfikisha level za InternationalSi kweli kama Sallam alikua manager wa AY toka anaanza Sallam ameanza nae 2016. Na sidhan kama walikaa nae hata mwaka ila ni kwa project fulan huwa anajitegemea kupitia kampuni yake ya unit entertainment na wakishirikiana na FA.
hawa wasanii wetu kusema umri hadharani kwao ni dhambi...siri wanaijua wenyewe sijui wanaogopa kutaja umri wakidhani wao ni wacheza soka wataacha sajiliwa.. Wamesahau usajili wao ni mpaka Koo ligome kufunguka.HIvi mondi atakua na miaka mingapi sasa ?
Swadakta; kwa asiejua watu wa huku kusini atasema unalopoka ila mm pia mmakonde natoa ushuhuda ni kweli watu wa huku wana ushikaji fake km hawana wanajishusha utawaonea huruma ila siku akifanikiwa nakuambia huruma yako itakuponza si tuna ujanja wa kukulupuka na kujiona zaidi kwa Tanzania hii naamini sisi ndo mabingwa wa kulipa wema kwa ubayaNo offense, ila asilimia kubwa ya vijana wa kusini kwa kweli si watu wakusema unaweza ukawa na ushikaji nae ili mfanikishe jambo na likatiki mazima, tena hususani wale waliolelewa kulekule, achana na hawa waliozaliwa ocean road, nazungumzia wale wa shule ya msingi kulekule.
Wapo hivi, asilimia kubwa kwanza wanatoka kwenye familia duni na wajinga, sasa akikuona wewe mambo yako supa huwa wanajipendekeza kwako sana, anaweza mtoto wa kiume akaja hadi kwako mwanaume mwenzake kukufulia, kupiga deki, kukupikia ili mradi umuone msela safi. Mnapanga mipango mfanyeje ili mpate kipato cha ziada kupitia yeye kwakuwa kipindi hicho hana mchongo wowote wa maana, unaona sio kesi, ngoja nitoe milioni zangu tufungue duka, au umnunulie bodaboda, au hiace yeye asimamie, au umwendeleze kipaji chake n.k kiroho safi.
Akisha ijua biashara fresh, anaanza kukuvimbia, anajiona bila ya yeye wewe hulambi kitu, anakuona kama ile hela mliyokubaliana akupatie kwa siku au wiki ni kama anakupa bure, anasahau pesa ya uwekezaji yote hajatoa hata senti, yeye ni nguvu kazi tu. Wakikutana na wenzake wanajazana ujinga mwishoe anakukimbia, na huwa hawachukui round wanafeli vibaya mno.
Hili la harmonize halijanishtua kwa vyovyote, ni kitu nilitegemea, nilipoona mazingira ya kwao akituonyesha nikajua huyu, diamond kalamba galasa hapa, ajitahidi diamond arudishe hela yake ya uwekezaji, amuache aende.
Kuna watu watasema dogo amekua sasa ni muda wa yeye kujitegemea, mnazidi kumjaza ujinga. Muda utaongea. Hivi mnadhani kuwa na lebo yenye studio, radio na tv ni kitu simple eeeh kama kuwasha kwa remote?