Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
South Sudan wanaijuwa iyo wcb ??Atakamata soko la Lindi, Mtwara, Masasi mpaka Nachingwea yote. Nangumene wote lazima wampe support wa nyumbani.
South Sudan wanaijuwa iyo wcb ??
muombe mama akodah.! nashangaa sijui wimbo hata WA dawa WA harmonize
lakini ni superstar.
naombeni audio ama video ya nyimbo zake
Ndugu kama hujui mambo bora ukakaa kimya na huyo harmonize mnaempa kichwa nyie mtakuja kuanza kumuonea huruma wenywe kwa vile hujui ngoja nikwambie kwan WCB Mondi mwenywe akifanya shoo 30% ya pesa aliyoingiza inaenda kwa hao mameneja wa tatu yaani mshahara maana ndo makubaliano yeye harmonize ni nani mpaka asitoe hiyo 30% kwa mameneja na pesa kidogo kwenye mfuko wa lebel kwa Mondi kurudisha pesa zke.pale wasafi kuna watatu au unaweza kuuita utatu mtakatifu, ambao ni sallam, babu tale na saidi fella.
ukiondoa ushirikina wao, fitna na propaganda zao ambazo kwa mda mrefu wamekuwa wakizitumia ku monopolize music industry ya tanzania, kazi nyingine kubwa pale wasafi ni kujineemesha kwa kupitia wasanii walio chini ya lebel ya wasafi.
unakuta kwa mfano malipo ya show moja ya rayvanny, hao wote watatu kila mtu ana parcent yake na hajaitolea jasho. nampongeza sana harmonize kwa kuachana na hao wapuuzi watatu. na ninamsifu kwa ku sign chini ya jembe jembe.
najua sallam na hao wapuuzi wenzie hawatakubali kushindwa kirahisi, lazima watajiribu kutaka kumvurigia deal lake la harmonize ila hawataweza maana jamaa pia ni born town, ana connection kubwa na pesa ya kula anayo.
hawa wapuuzi watatu kiboko yao alikuwa ni marehemu ruge mutahaba the master minder. rest in peace ruge.
Mkuu acha kabisa kuna siku huyo rayvan kakosa hela ya mafuta kutoka kwake tabata mpaka Mbezi .. Wengi Wa mashabiki wanadanganywa na zile picha za Instagram tu ...pale wasafi kuna watatu au unaweza kuuita utatu mtakatifu, ambao ni sallam, babu tale na saidi fella.
ukiondoa ushirikina wao, fitna na propaganda zao ambazo kwa mda mrefu wamekuwa wakizitumia ku monopolize music industry ya tanzania, kazi nyingine kubwa pale wasafi ni kujineemesha kwa kupitia wasanii walio chini ya lebel ya wasafi.
unakuta kwa mfano malipo ya show moja ya rayvanny, hao wote watatu kila mtu ana parcent yake na hajaitolea jasho. nampongeza sana harmonize kwa kuachana na hao wapuuzi watatu. na ninamsifu kwa ku sign chini ya jembe jembe.
najua sallam na hao wapuuzi wenzie hawatakubali kushindwa kirahisi, lazima watajiribu kutaka kumvurigia deal lake la harmonize ila hawataweza maana jamaa pia ni born town, ana connection kubwa na pesa ya kula anayo.
hawa wapuuzi watatu kiboko yao alikuwa ni marehemu ruge mutahaba the master minder. rest in peace ruge.
We Dogo huijui wcb kaa kimya , unaijua kupitia Instagram ..Ndugu kama hujui mambo bora ukakaa kimya na huyo harmonize mnaempa kichwa nyie mtakuja kuanza kumuonea huruma wenywe kwa vile hujui ngoja nikwambie kwan WCB Mondi mwenywe akifanya shoo 30% ya pesa aliyoingiza inaenda kwa hao mameneja wa tatu yaani mshahara maana ndo makubaliano yeye harmonize ni nani mpaka asitoe hiyo 30% kwa mameneja na pesa kidogo kwenye mfuko wa lebel kwa Mondi kurudisha pesa zke.
Af watu hamjui uzito wa LEBEL mfano KANYE WEST na mipesa yake yote ile lakini yupo chini ya Jay Z na halalamiki na anakatwa asilimia flani kama kawaida.
Na lebel cku zote huwa zinamashabiki wake mfano tu kwa maono yangu lavalava sio msanii kiviile na nyimbo zake Mara nyingi huwa hazieleweki lakin lakini akitoa ngoma kaa kama siku nne hivi af ingia YouTube uone alivyopata viewers wengi na ndo mashabiki hao wa WCB ndo wanao mpa support wakati huohuo rich mavoko anatoa ngoma kupata 500k ni kwa tabu sana kwa hiyo nachotaka kusema kuwa lebo ina mashabiki wake harmo akiondoka WCB asilimia kubwa atajitenga nao na kuwa maadui wake
Achanga ungese we jamaa, huko South Sudan unako kusema kila siku, hata akienda mandojo atajaza tuu uwanjaSouth Sudan wanaijuwa iyo wcb ??
Mkuu achana nae huyo, hawa ndo huwa wanaamini mchezaji ni mkubwa kuliko team... Watu wanaoangalia final product (music) wanaweza kuona kama Harmonize ni mkubwa, ila kiuhalisia bila management ya wcb huyo Harmonize angeendelea kuuza mitumba tandale hadi leo.. Harmonize kakosea sana kubadili management, Kina Sallam hawana issue nyingine kubwa za kuwaingizia kipato zaidi ya kusimamia wasanii wao, wanaspend time yao 100% kwenye music wa wasanii wao, ila hiyo management ya sasa ya Harmonize ni watu ambao tayari wana channel zao za pesa, watakua na muda kidogo wa kusimamia msanii wao, na hapo ndo Harmonize atakapoanza kupotea.. Harmonize Hawezi kuwaingizia pesa zaidi ya wanazoingiza sasa kwenye Miradi yao.Ndugu kama hujui mambo bora ukakaa kimya na huyo harmonize mnaempa kichwa nyie mtakuja kuanza kumuonea huruma wenywe kwa vile hujui ngoja nikwambie kwan WCB Mondi mwenywe akifanya shoo 30% ya pesa aliyoingiza inaenda kwa hao mameneja wa tatu yaani mshahara maana ndo makubaliano yeye harmonize ni nani mpaka asitoe hiyo 30% kwa mameneja na pesa kidogo kwenye mfuko wa lebel kwa Mondi kurudisha pesa zke.
Af watu hamjui uzito wa LEBEL mfano KANYE WEST na mipesa yake yote ile lakini yupo chini ya Jay Z na halalamiki na anakatwa asilimia flani kama kawaida.
Na lebel cku zote huwa zinamashabiki wake mfano tu kwa maono yangu lavalava sio msanii kiviile na nyimbo zake Mara nyingi huwa hazieleweki lakin lakini akitoa ngoma kaa kama siku nne hivi af ingia YouTube uone alivyopata viewers wengi na ndo mashabiki hao wa WCB ndo wanao mpa support wakati huohuo rich mavoko anatoa ngoma kupata 500k ni kwa tabu sana kwa hiyo nachotaka kusema kuwa lebo ina mashabiki wake harmo akiondoka WCB asilimia kubwa atajitenga nao na kuwa maadui wake
Source ya uzi wako...?Hatimaye meneja wa WCB Sallam SK amekata mzizi wa fitna baada kuthibitisha Harmonize kaandika barua ya kuvunja mkataba na lebo ya WCB Wasafi.
Amesema kwa sasa wanasubiria kufanya taratibu za kisheria kuuvunja mkataba na soon watakuwa na kikao cha kukubaliana terms ingawa Harmonize ameshaonyesha nia ya kukubaliana na terms zote za kuterminate mkataba.
Sallam ameomba radhi kwa mwenendo uliokuwa unaonyeshwa na msanii huyo siku za karibuni lakini amewaomba mashabiki wa Wasafi waendelee kutoa sapoti kwa Harmonize kwani ajaondoka kwa ubaya.
Mtazamo wangu; Harmonize anaenda kuwa historia kwenye muziki wa bongofleva uenda tukashangaa sana pale ambapo hatutasikia tena muziki wa kueleweka kutoka kwake na ukawa mwisho wake kisanaa.
Waliomshauri Hamo anapaswa kuwachukia maisha yake yote kama waliomshauri Mavoko.