Sallam, meneja wa Diamond kwanini anapenda vijembe?

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Huyu jamaa kwanza mim namkubali maana kwa juhudi zake amesaidia sana Diamond kuwa pale leo. Shida niliyonayo jamaa anapenda sana majungu kila akipost kitu instagram lazima aweke maneno ya vijembe, vingi vinakuwa vinaenda upande wa pili hivi ni hofu ama ni woga?
 
I can't confirm any rumors. I'm happy doing what I'm doing. I have no interest in going back to coaching!!
 
Huyu jamaa kwanza mim namkubali maana kwa juhudi zake amesaidia sana Diamond kuwa pale leo. Shida niliyonayo jamaa anapenda sana majungu kila akipost kitu instagram lazima aweke maneno ya vijembe, vingi vinakuwa vinaenda upande wa pili hivi ni hofu ama ni woga?
watu wa moro kwa vijembe huwafahamu
 
Huyu jamaa kwanza mim namkubali maana kwa juhudi zake amesaidia sana Diamond kuwa pale leo. Shida niliyonayo jamaa anapenda sana majungu kila akipost kitu instagram lazima aweke maneno ya vijembe, vingi vinakuwa vinaenda upande wa pili hivi ni hofu ama ni woga?
watu wa moro kwa vijembe huwafahamu wakina stamina wana wivu
 
Hamjajua anamrushia mkubwa nawanao. Yani Fella. Hatawenye wivu wajinyonge inamhusu. Hamna chaupande wapili.
 
Fella ni mmoja kati ya share holder wa WCB japo yeye anamiliki hisa chache Kuliko wote wenye hisa WCB ni wanne mondi tale sallam na fella,mondi mwenyewe alisema
 
Walitaka kufunika kama wewe unavyotaka kufunika lakini ukweli ndo huo boss. Ndo upande wapili wenyewe
 
Halafu ata hafanani, yupo gentleman mwenyewe kumbe Ana mdomo warumi anasubir
 
Huyo jamaa kamaa ni wa dar hiyo ni kawaida ya vijana wa dar..... Akili zao hazina utofauti sana na za dada zao.
 
Back
Top Bottom