aka2030
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 2,657
- 3,679
Huyu jamaa kwanza mim namkubali maana kwa juhudi zake amesaidia sana Diamond kuwa pale leo. Shida niliyonayo jamaa anapenda sana majungu kila akipost kitu instagram lazima aweke maneno ya vijembe, vingi vinakuwa vinaenda upande wa pili hivi ni hofu ama ni woga?