watu wa moro kwa vijembe huwafahamuHuyu jamaa kwanza mim namkubali maana kwa juhudi zake amesaidia sana Diamond kuwa pale leo. Shida niliyonayo jamaa anapenda sana majungu kila akipost kitu instagram lazima aweke maneno ya vijembe, vingi vinakuwa vinaenda upande wa pili hivi ni hofu ama ni woga?
watu wa moro kwa vijembe huwafahamu wakina stamina wana wivuHuyu jamaa kwanza mim namkubali maana kwa juhudi zake amesaidia sana Diamond kuwa pale leo. Shida niliyonayo jamaa anapenda sana majungu kila akipost kitu instagram lazima aweke maneno ya vijembe, vingi vinakuwa vinaenda upande wa pili hivi ni hofu ama ni woga?
Eti bulaza, hivi anayefuatilia kurasa za watu wasio na akili yeye anastahili aitwaje ???kwasababu "an empty head is a devil's workshop"
Kuna ka ukweli hapo, ndio mana ule mji maendeleo hakuna kabisa.watu wa moro kwa vijembe huwafahamu
Fella ni mmoja kati ya share holder wa WCB japo yeye anamiliki hisa chache Kuliko wote wenye hisa WCB ni wanne mondi tale sallam na fella,mondi mwenyewe alisemaHamjajua anamrushia mkubwa nawanao. Yani Fella. Hatawenye wivu wajinyonge inamhusu. Hamna chaupande wapili.
Eti bulaza, hivi anayefuatilia kurasa za watu wasio na akili yeye anastahili aitwaje ???
Ule mji maendeleo hakuna kulinganisha na wapi ewe punguwani?Kuna ka ukweli hapo, ndio mana ule mji maendeleo hakuna kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sanaAnastahil samsun aka mjuwaji au mjuvi kivuli