Sallam SK aka Mr. Misifa kaumbuliwa na Joh Makini

tupo hivyo ndio maana wanaija wamesambaa duniani hawakunjiani kwenye fursa ila sisi sasa mkuu, Labda tutakuja kubadilika
Watu hamjui mziki ulianza kuharibika tokea arudi Ali Kiba kwenye game 2013,hapa ndipo zikaanza timu kwenye Kili Music Awards (Team Mange, Team Joketi, Team Wema na Team Kiba),mwisho wa siku tuzo chali.

Mistake kubwa tena kuliko zote media kuchagua upande kwenye hili beef la Kiba na Mondi, Matokeo yake sasa hivi tuna team Harmonize, mziki wabongo kila siku unazidi kivunjika, hatujui kesho tutakuwa na team ipi. Ukirudi kwa washika dau kila mtu na msanii wake, kila radio na wasanii wake, uadui unakua kila siku. Jana Joh na Sallam,leo Mb Dog na Ay kesho hatujui nani na nani.

Wanaija ni wabinafsi kila mshikadau kwenye Industry yao wanautizama mziki wao tu na wamesambaa sana kwenye vyombo vya kimataifa na hata ukifanya nyimbo na msanii wa Naija hawa upromoti hata kwenye acc zake za social networks,Shata Wale na Stoneboy waliya ongea haya.

Bongo sizani na wala sifikiri kama wasanii watapendana,kunawasanii wanaambiwa na media ukifanya collabo na msanii fulani hupati airtime, siku hizi washaanza kuitana wachawi (nishike mkono tushindane........) na fununu nilizo zipata sasa Country Wiz amesha jitoa Konde Gang, sijui napo itakuwaje kama watakuwa hawa jaachana vizuri.
 
Jamaa anajifanya suge knight fulani

Anajifanya kama mziki ndiyo anaumiliki yeye

Ova

Yule ni mjanja mjanja tu na dalali kama madalali wengine, angekua na impact angekua na kampuni yake ya muziki awe na wasanii wake sio kuajiriwa na wcb na kudandia dandia wasanii halafu ni mdananda yuke roho yake mbaya hatari kabana michongo mingi ya wasanii hapo Bongo na kaweka pesa mbele hivo hana msaada wowote kwa wasanii
 
Baada ya kujua unatumia Tecno kc8 nimeghairi kukujibu
Na ndiyo ulimbukeni wako ulipo
Acha udada Una sifa za dada zako
Mwanaume smart anatumia simu yenye acces ya vitu vyote muhimu inakuwa imetosha
Kumiliki simu kubwa ni interest za kike hizo
Au ndiyo unajifariji kuwa na wewe una hela sana
Akili za kimaskini hizo
Jibu hoja

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Na Mawingu Wanasema Wao Ndio Walihusika Na Joint Hiyo Kwenye Kipindi Cha XXL Walipokuwa Wanafanya Interview Na A.K.A
 
Povu
 
Duh...David basi hatari

Sisi tunakunjiana wenyewe kwa wenyewe

Ila ndiyo asili yetu wabongo

Ova
 
Wa tu wengi wanaojihusisha na music industry bongo elimu ndogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…