Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Ndio hiyo hiyo. Kipindi kile AKA alikuja Bongo sasa Mwamba wa Kusini akaomba Kollabo la Mseleleko sasa SK akawa hataki coz yeye ndio kamleta TZ so nadhani alitaka cha juu.Collabo gani tena!?
Mbona walishapigaga don't bother kitambo sana au kuna nyingine!?