Gentleman96
JF-Expert Member
- Mar 12, 2019
- 912
- 1,670
Labda ndio sababu!Huyo jamaa si anaumwa Corona, au ashapona?
Hahahah...!Hivi mpaka Leo Kuna watu Wana muda wa kufuatilia Mambo ya watu wengine.... Mambo ambayo hayawaongezei chochote Cha maana katika maisha yao. Dahh!!! Very Sad.
100%Hapo kambi ya Harmonize inabidi iwe fasta kumsainisha huyu jamaa, hata wakimpa kibarua cha freelancer.
Kwanza huyu Meneja uchwara ni Mkuda Kila aliyeondoka pale WCB anamuongelea Jamaa kwa Ubaya hakuna aliyewai kumuongelea kwa Uzuri
We mwanamke gani ambaye hupendi umbea?Hivi mpaka Leo Kuna watu Wana muda wa kufuatilia Mambo ya watu wengine.... Mambo ambayo hayawaongezei chochote Cha maana katika maisha yao. Dahh!!! Very Sad.
Kwa hiyo umefurahi??
Salam SK majuzi alikua anabembeleza Ally Kina awe Meneja wake ila Kiba alikataa sababu tu hapendi kujionyesha onyesha.