Gentleman96
JF-Expert Member
- Mar 12, 2019
- 912
- 1,670
Mambo vipi?
.........
Label ya muziki Tanzania, WASAFI ( WCB)
ni label kubwa sana hapa bongo,lakini pia imekua na matukio mengi mazuri na mabaya Kuhusu management nzima.
Leo jamaa Salam SK amefuta taarifa zinazomuonesha kama Manager wa Diamond Platnumz
Na Diamond Platnumz pia ameweka mawasiliano ya booking direct kwake tofauti na zaman ilikua upitie kwa Salam SK
Pengne jamaa kajiondoa au kafukuzwa WCB,
Unakumbuka kwa Harmonize ilkua hivi hvi?
Sent using Jamii Forums mobile app