Sallam SK amefuta taarifa zinazomuonesha kama Manager wa Diamond Platnumz

Mkuu Mimi Nasapoti msanii yoyote hapa Bongo Sina ubaguzi
 
Mkuu Mimi Nasapoti msanii yoyote hapa Bongo Sina ubaguzi
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kweli Kabisa hata mimi naona labda kuna mtu atakuwa kahack account yako JF.
Wasanii walio chini ya label ya WCB hawana mashabiki wala uwezo? - JamiiForums
 
Wewe ulishawahi kumzungumzia Kiba vizuri?
Me ni mmoja wa fan wa kiba kwenye mziki wake sema anakiangusha nje ya mziki wake kwenye kipaji namzungumzia vizuri nje hapo simzungumzii vizuri kwa sababu Hana vitu vizuri vya kumzungumzia ikiwemo hajui kujibrand n.k
 
Wewe na huyo jamaa wote hamko objective. Kama mnalipwa ni vizuri, ila kama hamlipwi mtakuwa watu wa ajabu sana.
 
Hivi mpaka Leo Kuna watu Wana muda wa kufuatilia Mambo ya watu wengine.... Mambo ambayo hayawaongezei chochote Cha maana katika maisha yao. Dahh!!! Very Sad.
Kuna watu ndiyo raha yao kufuatutilia maisha ya watu,ndiyo maana magazeti ya udaku yanauza sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…