Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Hawapendi kushabikia ni hivyo basi hawana jinsiBongo flavor wengi ni makada wa CCM na CCM ni Chama Cha Mazezeta, msishangae
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawapendi kushabikia ni hivyo basi hawana jinsiBongo flavor wengi ni makada wa CCM na CCM ni Chama Cha Mazezeta, msishangae
Honestly namuonaga kama limbukeni tuHuyu jamaa anajua dola milion 230 kweli? Album ya thriller ya Michael Jackson in two years after being released ndio iliingiza 134 million dollars sasa huyu paka wa bongo ndio alete 230 labda ya mabox.
Waache kujitamba uongo haiwasaidii kitu maana huyo dogo kaanza kusema na ule mgahawa ni wake kwani akisema ukweli shida ipo wapi? Ndio maana wakija kupata matatizo watu wanaanza kuwabeza na kutisaodia sababu wanaona kama alichezea hela kumbe hata hakuwa nazo.
Mhh! dola bilioni kaka unazungumzia trilioni za madafu. Ukibadili kwa za madafu maana yake ni zaidi ya trilioni mia tano. Hatari hii mmezumu sanaKatika mahojiano ya leo Meneja wa Diamond amedai Tetema ya Rayvanny imeingiza Dola bilioni 230 za Kimarekani, na kwamba Rayvanny ni tajiri na anaongoza.
Pesa hizo alizotaja Meneja SK ni nusu ya pesa za makenikia, ni pesa nyingi sana, sasa sijui ni kweli au kiki msikilize.
Hakika, hili ndio jibu sahihi.Hesabu ni ugonjwa wa Taifa