Sally/Sarah Mugabe, mke wa kwanza wa Robert Mugabe

SE hata mimi hapo ulinichanganya. Sahihi ni kwamba alikuwa First Lady kuanzia 1981 mwaka ambao Zimbabwe ilipata uhuru na sio 1987.

Nilimaanisha alikuwa First Lady 1987 mpaka mauti yalipfika 1992
 
Alafu nilisikia kwenye kipindi TBC1 eti mugabe anahasili ya Uganda.Je ni kweli?
Ana hasili mkuu jarib kuandika vzr
Ila ukweli africa ina watu watatu
Wakush wabantu na wanilote
Hakuna mtu nje ya apo na almost maeneo meng watu wamevamia hakuna mtu mwenye asili ya haki kutok sehem alipo bali sehem alipozaliwa
 
Poleni watanzania, ccm inawatesa sn. Mungu ipo Siku atawalipia
 
Kweli kosea kujenga usikosee kuoa. Balaa hii Mugabe isingemkuta angekuwa na huyu Mama kwan wangezeeka pamoja lakn sio Grace
 
Mara nyingi mke wa kwanza ndiyo mke, mke wa pili anakuta maisha yamenyooka.
Mke ni mke tuu sema mke unayempata ukiwani cheo na mali yeye lengo lake huwa ni kukusanya damu.Wanawake wa leo wengi wanatanguliza mali mbele kama mimba na ndo maana wengine wako tayari kulazimisha ndoa.
 
SE hata mimi hapo ulinichanganya. Sahihi ni kwamba alikuwa First Lady kuanzia 1981 mwaka ambao Zimbabwe ilipata uhuru na sio 1987.
Zimbabwe ilipopata uhuru Mugabe alikuwa rais wa pili, wakwanza alikuwa Kansan Banana. Mugabe alikuwa rais 1987.
 
Reactions: BAK
Mama hizi taarifa nzuri na za maana unazipata wapi . tungekuwa na member 3 kama wewe jf ingekuwa bora zaidi. Wengine wanajiandaa kuandika trash humu ndani. Mama ubarikiwe great Sky Eclat. Tangu ile ya Mobutu nakukubali. Malizia na ya Mugabe kabisa tafadhali ukumbuke na alivyohusishwa na kifo cha Herbert Chitepo freedom fighter mwenzie aliyeishi Zambia akasave ile kesi akaibukia urais?
 
Kwa kuchangia tu, Zimbabwe ilipopata Uhuru katiba yake mwenye mamlaka kiutendaji alikuwa waziri mkuu Mugabe na Canaan Banana alikuwa ceremonial president. Hivyo ,Mugabe haikumpendeza kukosa mizinga 21 kwani hakuwa had of state. Ndipo baadae akabadili katiba na kuwa executive president .hapo na mama Sally Mugabe ndipo akawa first lady.viongozi Wa afrika hawapendi kukosa urais kamilifu wenye kumbatana na mbwembwe sio haba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…