Sally/Sarah Mugabe, mke wa kwanza wa Robert Mugabe

Sally/Sarah Mugabe, mke wa kwanza wa Robert Mugabe

Mkuu Naomba nirekebishe kama nimekosea
Neno sahihi ni asili na sio hasili,
Kama wewe ni mtanzania uliyesoma kuanzia shule ya msingi na sekondari hapa hapa Tanzania AIBU YAKO, kama ulijifunza tu Kiswahili ukubwani hukusomea hapa basi nafurahi kuwa nimefanya wajibu wangu kukurekebisha.
 
Nashukuru mkuu,,ujinga wangu mimi waki maandishi
 
Ana hasili mkuu jarib kuandika vzr
Ila ukweli africa ina watu watatu
Wakush wabantu na wanilote
Hakuna mtu nje ya apo na almost maeneo meng watu wamevamia hakuna mtu mwenye asili ya haki kutok sehem alipo bali sehem alipozaliwa
Kuna wa San na mbilikimo ambao hawapo katika makundi uliyoyataja na walikuwepo Afrika sehemu nyingi kabla hata wabantu hawajafika.

Kwa mafano Tanzania huku Wasandawe walikuwepo kabla makabila yote ya kibantu hayajafika. Wasandawe hawapo katika makundi yote uliyotaja.
 
Back
Top Bottom