Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mchinga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mama Salma Kikwete, amewasili katika ofisi za CCM Wilaya ya Lindi Mjini kwa ajili ya kuchukua barua ya utambulisho.
Barua hiyo inamwezesha kuelekea katika ofisi za Tume Huru ya Uchaguzi mkoani humo kuchukua fomu ya kugombea ubunge katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.
Barua hiyo inamwezesha kuelekea katika ofisi za Tume Huru ya Uchaguzi mkoani humo kuchukua fomu ya kugombea ubunge katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.