GE2025 Salma Kikwete arahisishiwa Kazi Jimboni, Mgombea Ubunge CHAUMMA, Mchinga, Yusuph Tamba atimkia CCM

GE2025 Salma Kikwete arahisishiwa Kazi Jimboni, Mgombea Ubunge CHAUMMA, Mchinga, Yusuph Tamba atimkia CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Aliyekuwa mgombea ubunge kupitia tiketi ya Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Jimbo la Mchinga, mkoani Lindi, Yusuph Tamba, amejiunga rasmi leo, tarehe 25 Septemba 2025, na Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika mkutano wa kampeni za mgombea urais kupitia Chama hicho, Samia Suluhu Hassan, mkoani Lindi.

Tamba amesema amefanya uamuzi huo baada ya kutafakari kwa kina na kubaini kuwa CCM ndiyo chama chenye dira, sera na uwezo wa kuwaletea wananchi maendeleo ya kweli.

Wengine waliojiunga na CCM ni pamoja na Rehema John (CUF), alikuwa mgombea Ubunge wa Jimbo la Mchinga, Ramadhan Mussa

 
Back
Top Bottom