PakaJimmy
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 16,199
- 8,761
Katika hali inayoonysha maji kuwa ya shingo, Mama Salma Kikwete amewasili Arusha ASUBUHI HII kutokea Dar kwaajili ya kujaribu kuwahamasisha wakazi na wanawake wa Arusha wamchague Batilda...Habari zinasema kuwa ameingia kwa ndege ya serikali, na msafara wake mdogo ulipita mtaani tokea uwanja wa Ndege, ukiwa na wanaccm wachache wenye t-shirt na kofia MPYA!