Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Huyu mtani wangu Na yeye kayajulia wapi hayo ya vijana wa kiume ku boost kwa kunywa energy?Mbunge wa Jimbo la Mchinga mkoani Lindi, Salma Kikwete ameishauri Serikali kutafuta mbadala wa vinywaji vya kuongeza nguvu (energy drinks), baada ya kuonekana vinywaji hivyo vinavyotumiwa na vijana wengi nchini vinaharibu vijana hao ambao ni nguvu kazi ya Taifa.
Salma amesema hayo bungeni jijini Dodoma wakati akichangia mjadala kuhusu Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2024, Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2025/2026 na Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2025/2026.
"Kuna kitu kinaitwa ‘energy’, ni shida, ni tatizo na wanaokunywa ni watoto wadogo na wanakunywa kwa malengo yapi? kama wanaweza sasa hivi wana umri wa miaka 13 ‘kuboost’ wakifika miaka 28 watakuwa katika hali gani? zinaharibu watoto jamani, watoto wanaangamia tutafute mbadala jamani," amesema Salma Kikwete
Kwakuwa yeye anaishi mbinguni ama unamaanisha nn?? Huyu anaishi duniani kama wewe tu. Utofauti wenu ni kuwa wewe unaishi mbagala ye anaishi kawe beach. Kote energy zinauzwa na ni Mama na bibi piaHuyu mtani wangu Na yeye kayajulia wapi hayo ya vijana wa kiume ku boost kwa kunywa energy?
Mtanikumbuka 😁🙏Jiwe hatawahi kumsahau huyu Maza. Unaambiwa jiwe alipozuia bidhaa zake zisitoke bandarini Hadi azilipie Kodi akamvalia kanga Hadi magogoni na kumshukia za Kiswahili kama Siyo Sisi usingekuwa Rais. Jiwe alilegea akamuomba msamaha akamuambia mama umesema kweli nenda bidhaa zako ziko huru Na kumzawadia ubunge wa viti maalum.
johnthebaptist Pascal Mayalla
Vijana wanaopotezwa na "watu wasiojulikana" hawamuumi kabisa?Mbunge wa Jimbo la Mchinga mkoani Lindi, Salma Kikwete ameishauri Serikali kutafuta mbadala wa vinywaji vya kuongeza nguvu (energy drinks), baada ya kuonekana vinywaji hivyo vinavyotumiwa na vijana wengi nchini vinaharibu vijana hao ambao ni nguvu kazi ya Taifa.
Soma > Serikali yapunguza kodi kwenye vinjwaji aina ya Energy Drink
Salma amesema hayo bungeni jijini Dodoma wakati akichangia mjadala kuhusu Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2024, Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2025/2026 na Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2025/2026.
"Kuna kitu kinaitwa ‘energy’, ni shida, ni tatizo na wanaokunywa ni watoto wadogo na wanakunywa kwa malengo yapi? kama wanaweza sasa hivi wana umri wa miaka 13 ‘kuboost’ wakifika miaka 28 watakuwa katika hali gani? zinaharibu watoto jamani, watoto wanaangamia tutafute mbadala jamani," amesema Salma Kikwete
Tunamkumbuka ndiyo kwa kumua BEN SANANE na ANZORY GWANDAMtanikumbuka 😁🙏
Watengenezaji ni wanaccm wenzao.. Waongee nao vizuriMbunge wa Jimbo la Mchinga mkoani Lindi, Salma Kikwete ameishauri Serikali kutafuta mbadala wa vinywaji vya kuongeza nguvu (energy drinks), baada ya kuonekana vinywaji hivyo vinavyotumiwa na vijana wengi nchini vinaharibu vijana hao ambao ni nguvu kazi ya Taifa.
Soma > Serikali yapunguza kodi kwenye vinjwaji aina ya Energy Drink
Salma amesema hayo bungeni jijini Dodoma wakati akichangia mjadala kuhusu Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2024, Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2025/2026 na Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2025/2026.
"Kuna kitu kinaitwa ‘energy’, ni shida, ni tatizo na wanaokunywa ni watoto wadogo na wanakunywa kwa malengo yapi? kama wanaweza sasa hivi wana umri wa miaka 13 ‘kuboost’ wakifika miaka 28 watakuwa katika hali gani? zinaharibu watoto jamani, watoto wanaangamia tutafute mbadala jamani," amesema Salma Kikwete
Kwani unakunywa energy drink kwa kulazimishwa? Ukanywe createn kama hufany gym? Energy drink si kuna Beta carnertine, arginine etc, utakulaje asprin wakati huumwi kichwa. Ati serikali itafute kinywaji kingine - huyu alikuwa First LadyMbunge wa Jimbo la Mchinga mkoani Lindi, Salma Kikwete ameishauri Serikali kutafuta mbadala wa vinywaji vya kuongeza nguvu (energy drinks), baada ya kuonekana vinywaji hivyo vinavyotumiwa na vijana wengi nchini vinaharibu vijana hao ambao ni nguvu kazi ya Taifa.
Soma > Serikali yapunguza kodi kwenye vinjwaji aina ya Energy Drink
Salma amesema hayo bungeni jijini Dodoma wakati akichangia mjadala kuhusu Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2024, Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2025/2026 na Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2025/2026.
"Kuna kitu kinaitwa ‘energy’, ni shida, ni tatizo na wanaokunywa ni watoto wadogo na wanakunywa kwa malengo yapi? kama wanaweza sasa hivi wana umri wa miaka 13 ‘kuboost’ wakifika miaka 28 watakuwa katika hali gani? zinaharibu watoto jamani, watoto wanaangamia tutafute mbadala jamani," amesema Salma Kikwete
Haa Haa Ndiyo Jiwe Alitaka Kupiga Shangazi Zake Na KiswaswaduJiwe hatawahi kumsahau huyu Maza. Unaambiwa jiwe alipozuia bidhaa zake zisitoke bandarini Hadi azilipie Kodi akamvalia kanga Hadi magogoni na kumshukia za Kiswahili kama Siyo Sisi usingekuwa Rais. Jiwe alilegea akamuomba msamaha akamuambia mama umesema kweli nenda bidhaa zako ziko huru Na kumzawadia ubunge wa viti maalum.
johnthebaptist Pascal Mayalla
Haa Wanasema HatumdaiWatengenezaji ni wanaccm wenzao.. Waongee nao vizuri
Yaani Nyege NyegeziDaah 😂😂
😂Yaani Nyege Nyegezi