gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Sayona vya wahindi bana,wakati vinaanzishwa mumewe hakuwa na hela ya kuwa na kiwandaAanze na viwanda vya mmewe Sayona
Sayona vya wahindi bana,wakati vinaanzishwa mumewe hakuwa na hela ya kuwa na kiwandaAanze na viwanda vya mmewe Sayona
Energy drinks huleta shida za moyo,figo, mimi nimeacha kunywa,kuna siku hali ilikua mbayaalifanya utafiti au anaongea tu.
Shida ni energy drinks au tabia ya jamii kwa ujumla, Taifa lina shida kubwa ya maadili na mfumo wa maisha kwa ujumla.
Kuna tatizo la vijana wengi kuzagaa mitaani wakiwa hawana cha kufanya, hili ni tatizo kubwa linalohitaji ufumbuvi.
Jamii iliyokuwa imekaakaa tu haina cha kufanya ni hatari kwenye maadili.
Na alimsuta mpk zawad ya viti maalum puuuhJiwe hatawahi kumsahau huyu Maza. Unaambiwa jiwe alipozuia bidhaa zake zisitoke bandarini Hadi azilipie Kodi akamvalia kanga Hadi magogoni na kumshukia za Kiswahili kama Siyo Sisi usingekuwa Rais. Jiwe alilegea akamuomba msamaha akamuambia mama umesema kweli nenda bidhaa zako ziko huru Na kumzawadia ubunge wa viti maalum.
johnthebaptist Pascal Mayalla
Energy drinks huleta shida za moyo,figo, mimi nimeacha kunywa,kuna siku hali ilikua mbaya
Ayatollah sio usinywe nyingi usinywe kabisaa nakumbuka nikiwa mkoa fulani nilikunywa zile energy za ponjoro wa Simba moja tu moyo ulipiga mapigo kama sindano ya cherehani pumzi sipati mpaka leo nikiiona tu energy yoyote nastukaRed bull/energy drink huw zimeandikwa usinywe nyingi, na watalaamu wanashauri usinywe usiku.
Kama unakunywa moja kwa siku au baadala y siku kadhaa haina athari zozote
Naamini pia kwa mtu aliye busy na manual works anatoka jasho haiwezi kuwa na athari kwake.
Red zipo Duniani miaka na miaka kama ilivyo pombe, madawa, bhangi, ngono nk ukiiabuse nayo inakuabuse.
Ayatollah sio usinywe nyingi usinywe kabisaa nakumbuka nikiwa mkoa fulani nilikunywa zile energy za ponjoro wa Simba moja tu moyo ulipiga mapigo kama sindano ya cherehani pumzi sipati mpaka leo nikiiona tu energy yoyote nastuka
Waliosimulia hii story walisema jiwe alimuweka House arrest.Jiwe hatawahi kumsahau huyu Maza. Unaambiwa jiwe alipozuia bidhaa zake zisitoke bandarini Hadi azilipie Kodi akamvalia kanga Hadi magogoni na kumshukia za Kiswahili kama Siyo Sisi usingekuwa Rais. Jiwe alilegea akamuomba msamaha akamuambia mama umesema kweli nenda bidhaa zako ziko huru Na kumzawadia ubunge wa viti maalum.
johnthebaptist Pascal Mayalla
😂😂😂😂😂Kwakuwa yeye anaishi mbinguni ama unamaanisha nn?? Huyu anaishi duniani kama wewe tu. Utofauti wenu ni kuwa wewe unaishi mbagala ye anaishi kawe beach. Kote energy zinauzwa na ni Mama na bibi pia
Ila anadaiwa mwenye nacho.. Rais hana pesa bali ana mawazom. Pesa ni zetu sio zakeHaa Wanasema Hatumdai
Isipokuwa Mpina Kapasua Mbarika Tunakudai
😂😂😂😂😂Ayatollah sio usinywe nyingi usinywe kabisaa nakumbuka nikiwa mkoa fulani nilikunywa zile energy za ponjoro wa Simba moja tu moyo ulipiga mapigo kama sindano ya cherehani pumzi sipati mpaka leo nikiiona tu energy yoyote nastuka
Lucas chief deitat mtu wangu wa nguvuWaliosimulia hii story walisema jiwe alimuweka House arrest.
Red bull/energy drink huw zimeandikwa usinywe nyingi, na watalaamu wanashauri usinywe usiku.
Kama unakunywa moja kwa siku au baadala y siku kadhaa haina athari zozote
Naamini pia kwa mtu aliye busy na manual works anatoka jasho haiwezi kuwa na athari kwake.
Red zipo Duniani miaka na miaka kama ilivyo pombe, madawa, bhangi, ngono nk ukiiabuse nayo inakuabuse.