Salma Kikwete: 'Energy drink' zinaharibu watoto, tutafute mbadala

Energy drinks huleta shida za moyo,figo, mimi nimeacha kunywa,kuna siku hali ilikua mbaya
 
Na alimsuta mpk zawad ya viti maalum puuuh
 
Energy drinks huleta shida za moyo,figo, mimi nimeacha kunywa,kuna siku hali ilikua mbaya

Red bull/energy drink huw zimeandikwa usinywe nyingi, na watalaamu wanashauri usinywe usiku.

Kama unakunywa moja kwa siku au baadala y siku kadhaa haina athari zozote

Naamini pia kwa mtu aliye busy na manual works anatoka jasho haiwezi kuwa na athari kwake.

Red zipo Duniani miaka na miaka kama ilivyo pombe, madawa, bhangi, ngono nk ukiiabuse nayo inakuabuse.
 
Ayatollah sio usinywe nyingi usinywe kabisaa nakumbuka nikiwa mkoa fulani nilikunywa zile energy za ponjoro wa Simba moja tu moyo ulipiga mapigo kama sindano ya cherehani pumzi sipati mpaka leo nikiiona tu energy yoyote nastuka
 
Ameongea point ya msingi, lakini bila shaka mwishoni ameunga mkono hoja kwa 100%.

Ni kitu ambacho kila mara huwa kina nistaajabisha.
 
Ayatollah sio usinywe nyingi usinywe kabisaa nakumbuka nikiwa mkoa fulani nilikunywa zile energy za ponjoro wa Simba moja tu moyo ulipiga mapigo kama sindano ya cherehani pumzi sipati mpaka leo nikiiona tu energy yoyote nastuka

Afya zenu haziko sawa, huwa nakunywa mbili nikiwa naendesha gari nahakuna shida yeyote.
 
Waliosimulia hii story walisema jiwe alimuweka House arrest.
 
Kwakuwa yeye anaishi mbinguni ama unamaanisha nn?? Huyu anaishi duniani kama wewe tu. Utofauti wenu ni kuwa wewe unaishi mbagala ye anaishi kawe beach. Kote energy zinauzwa na ni Mama na bibi pia
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ayatollah sio usinywe nyingi usinywe kabisaa nakumbuka nikiwa mkoa fulani nilikunywa zile energy za ponjoro wa Simba moja tu moyo ulipiga mapigo kama sindano ya cherehani pumzi sipati mpaka leo nikiiona tu energy yoyote nastuka
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…