Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Sasa hapa n maendeleo gn waliyokuwa wanazungumzia 😂

Comment yangu ile juu wameidit sijajua sababu.Zamani ndiyo walikuwa wanafanya hadi inaonyesha edited by Mod flan ,kwasiku hizi sijui maana haionyeshi.
Si ulisema Samia hadaiwi chochote? Kwanini usichangie kujenga walau stand moja na mumeo akajenga ya pili? Pesa zote mlizoiba bado mnaibahilia kiasi hicho.Mbunge wa Mchinga Mkoani Lindi Salma Kikwete, kwenye kipindi cha maswali na majibu amehoji Serikali ina mpango gani na Jimbo lake halina Stendi hata moja wakati Magari makubwa yanapita kutoka Mikoa mbalimbali kama Ruvuma na Mtwara na mengine kutoka Nchini jirani ya Msumbiji.
Akijibu swali hilo, Naibu Waziri wa TAMISEMI Reuben Kwagilwa, amesema Serikali itafanya mapitio pamoja na kutathmini hali ilivyo ili kujenga stendi katika Jimbo hilo la Mchinga “Serikali itafanya mapitio pamoja na kutathmini hali ilivyo Mchinga, ni muhimu sana Mji huo uwe na stendi hivyo sisi Serikali tutafanya mapitio na kuainisha cha kufanya”
Mama Kikwete ana kitambi cha mapesa.Mbunge wa Mchinga Mkoani Lindi Salma Kikwete, kwenye kipindi cha maswali na majibu amehoji Serikali ina mpango gani na Jimbo lake halina Stendi hata moja wakati Magari makubwa yanapita kutoka Mikoa mbalimbali kama Ruvuma na Mtwara na mengine kutoka Nchini jirani ya Msumbiji.
Akijibu swali hilo, Naibu Waziri wa TAMISEMI Reuben Kwagilwa, amesema Serikali itafanya mapitio pamoja na kutathmini hali ilivyo ili kujenga stendi katika Jimbo hilo la Mchinga “Serikali itafanya mapitio pamoja na kutathmini hali ilivyo Mchinga, ni muhimu sana Mji huo uwe na stendi hivyo sisi Serikali tutafanya mapitio na kuainisha cha kufanya”
Vichwani yamejaa funza tu.Maccm bana!
Wana edit.Zamani ndiyo walikuwa wanafanya hadi inaonyesha edited by Mod flan ,kwasiku hizi sijui maana haionyeshi.
Wanasiasa bhana daaahMbunge wa Mchinga Mkoani Lindi Salma Kikwete, kwenye kipindi cha maswali na majibu amehoji Serikali ina mpango gani na Jimbo lake halina Stendi hata moja wakati Magari makubwa yanapita kutoka Mikoa mbalimbali kama Ruvuma na Mtwara na mengine kutoka Nchini jirani ya Msumbiji.
Akijibu swali hilo, Naibu Waziri wa TAMISEMI Reuben Kwagilwa, amesema Serikali itafanya mapitio pamoja na kutathmini hali ilivyo ili kujenga stendi katika Jimbo hilo la Mchinga “Serikali itafanya mapitio pamoja na kutathmini hali ilivyo Mchinga, ni muhimu sana Mji huo uwe na stendi hivyo sisi Serikali tutafanya mapitio na kuainisha cha kufanya”
Mme wake Salma, J. Kikwete, alikuwa Raisi kwa miaka 10...! Alishindwaje kumuuliza mme wake hilo swali?! (hata chumbani).... anakuja kuuliza sasa hivi?!Mbunge wa Mchinga Mkoani Lindi Salma Kikwete, kwenye kipindi cha maswali na majibu amehoji Serikali ina mpango gani na Jimbo lake halina Stendi hata moja wakati Magari makubwa yanapita kutoka Mikoa mbalimbali kama Ruvuma na Mtwara na mengine kutoka Nchini jirani ya Msumbiji.